Unaita mashahidi ambao unajua fika watakukandamiza. amakweli Lisu kachanganyikiwa.

Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Mtoa mada hujui tu lengo la lisu.
Kwanza hawatakuja sababu ni kuogopa kudhalishwa na gifted ones.
Pili, wakija mfano lissu akimuuliza IGP ni nani alitoa order ya kuua watanzania oktoba 2025 hilo swali ungekuwa wewe ungejibuje?
 
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Kumbuka hao walioitwa wakienda hawatoi maelezi mengi bali wanajibu maswali watakayoulizwa tu,mfano Lissu anaweza kumuuliza unafanya kazi gani,na majukumu yako kwenye kazi yako unayofanya ni ipi,mpaka hapo kama unahasira za haraka lazima jasho likutoke
 
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Sasa wewe Chawa kinachokuuma ni nini...????/ Kama ndio mashahidi watakao mmaliza si ndo mngetakiwa kufurahi... Unafikiri Lissu ni mjinga kuwaita hao kama mashahidi wake...?? Halfu Lissu alishasema hata akikaa gerezani miaka 20 yupo tayari... Sasa nini kinawauma na kuwawawsha..

Rubbish
 
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Anajua hawataenda na wakienda anajua pa kuwashikia .
Hivi mwansheria unadhani hana akili au?yaani mpaka anawataka kashajipandmga pa kuwashilia
 
Ulofa usiuite ushuj
Ila Kuna watu ni wajinga sana, hivi unapomtishia mwenzio kifo unadhani wewe hautakuwa kwenye hilo fungu la kifo? Tena Bora mwenzio atakufa kifo Cha kishujaa ambacho kitabakia ktk historia Daima. Tufupishe tu hakuna mtu wa kumnyonga Lissu.
Ulofa usiuite ushujaa we bwege
 
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Sasa yeye ameamua hivyo ww inakuuma nini? Mbona mmekataa hawo wengine wasiende ili wamkandamize kama samia,waziri mkuumstaafu na mpango?
 
S
Shujaa ni yule anaefia vitani. endelea kufurahia mateso ya wengine.
Dunia huwa na tabia ya kuhukumu kwa wakati.
Wamemwona Lissu ni lofa maana ht hajui anapigania nini. Mke na watoto wanakula maisha Ulaya mwenyewe anateseka eti anatafuta ukombozi, mnyaturu mpumbavu yule. Mbishi, mjuaji, mshamba asiyejua siasa
 
Kama haujui kuwa hao mashahidi wataongozwa na Lissu kuhojiwa nyamaza.
Hajui huyo chawa mwandamizi.

Hai ni mashahidi wa Lissu na wanatakiwa kuongozwa na Lissu ila wakigeuka kuwa hostile witness, Lissu ataiomba mahakama awafanyie cross examination.

Hapo kwenye cross examination sasa ndiyo balaa kila swali litaulizwa hasa yale mauaji ya Oktoba nani aliyaamru na miili ilipelekwa wapi.
 
S
Wamemwona Lissu ni lofa maana ht hajui anapigania nini. Mke na watoto wanakula maisha Ulaya mwenyewe anateseka eti anatafuta ukombozi, mnyaturu mpumbavu yule. Mbishi, mjuaji, mshamba asiyejua siasa
Huoni unajichanganya mwenyewe sasa?

Kama Lissu angeamua kula maisha angekula hadi anakufa maana kwa matukio ya wazi ya kushambuliwa kwake mchana kweupe angeomba hifadhi ya kisiasa kokote duniani angepewa na angelipia kila kitu yeye na familia yake.

Lakini ili uone kuwa ni mpigania haki na mzalendo wa kweli kwenye nchi yake ameamua kuacha neema zote hizo akaamua kukubaliana na kila aina ya mateso.

Asingekuwa mkombozi wa kweli basi angeshawanyenyekea watawala muda mrefu na angeungana nao kutafuna nchi.
 
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Hahaa!! Mlifikiri anawaita waje kumtetea aje awaumbue? Mkuu wa polisi atapata shida sana atakavyoumbuliwa kuhusu matukio wanayofanya kama ni sahihi. Kazi yao kwa waandamanaji ni nini? Kazi yao ktk mikutano ni nini? Mambo ni mengi na hamtaamini. Lisu hawez kuita hao kwa ajili ya kumtetea yeye ni kwa ajili ya kuonesha madhaifu yaliyopo nchini
 
Back
Top Bottom