Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Rais alihutubia Taifa Jana..
Ilikua ni hotuba ya kuponya na kutibu maumivu ya fikra na kuleta ahueni na matumaini mapya mioyoni mwa waTanzania.
Ni hotuba nzito na ya kimamlaka, ya kiongozi mkuu wa nchi mwenye nguvu sana, na yenye maelekezo muhimu mazito na ya maana sana kwa nchi, mataifa na dunia nzima, kuyatilia maanani na kuyazingatia..
Rais ameonyesha njia na ameapa kulinda kiapo chake na kuilinda amani ya waTanzania kwa gharama yoyote. Amewaondoa hofu waTanzania. Amewarejeshea matumaini ya utulivu na umoja miongoni mwao. Ni hotuba ya kuwaunganisha wananchi na kuwaleta pamoja waTanzania..
Ni hotuba ya kutoruhusu mchafuko wala vitendo vya uvunjifu wa amani nchini. Ni hotuba ya kuwaonya makhulukutubu wate kutokuthubutu kuhatarisha amani ya nchi na kuturudisha nyuma..
Ni hotuba ya kuwahakikishia waTanzania kwamba, Amani na utulivu wa nchi yetu tutailinda kwa Gharama yoyote ile, kama nchi nyingine zinavyolinda nchi zao, nasi waTanzania tutalinda nchi yetu kwa gharama yoyote..
Rais amesisitiza sana kuhusu mambo malimbali ya kitaifa kwa kusema, mathalani, nanukuu,
" Niliwahi kusema, na hapa nataka nirudie tena kwa msisitizo. Ukimya wangu sio ujinga, na wala kuzungumza sana kwa wale wanao zungumza sana, sio werevu hata kidogo"
mwisho wa kumnukuu mh.rais..
Mh.Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kipenzi cha waTanzania, ameapa kulinda katiba ya Tanzania, na ana wajibu na dhamana kulinda amani ya nchi kwa gharama yoyote...
It was very powerful speech to the world..
kizalendo zaidi, unaizungumiaje hotuba ile kwa Taifa letu na dunia nzima?🐒