Unaizungumziaje hotuba nzuri, muafaka na muhimu sana ya Kitaifa na Kimataifa ya Rais Samia?

Kuna mtu aliwahi kusema tz tuna uhaba wa wachambuzi wa hotuba hasa za viongozi wa. Kuu…… kwa mantiki hiyo na kupitia bandiko lako hili yamejidhihirisha bayana dhahiri umeonuesha hujajua kutofautisha hotuba, mipasho, na kejeli , japo sipendi kufananisha eb vuta picha hotuba za JPM ….. kwa huyu maza tume pigwa sema wew unakaza fuvu kwa maslahi yako
 
hapo unavuta picha au unavuta bangi wewe?

umeelewa hoja ya msingi kweli?πŸ’
 
Tangu Carl Peters alipounda nchi ya Tanganyika hadi Leo sijaona hotuba ya hovyo kama ya Samia juzi.
 
Ningekua na uwezo nngekataza kutumia neno "KIPENZI CHA WATANZANIA" badala yake mtu ajiongelee kwa binafsi yake mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…