fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
- Thread starter
- #21
Ni kweli ni ngumu kuhesabu,japo ukiweka nia unaweza,pia najaribu kufikiri kuwa huenda kujamba kunaweza kukuongezea kipato,iwapo italetwa teknolojia ya kuhifafhi gesi inayotokana na mifuzi,mifuzi ni kijana cha kitendo kujambaKuna wengine wakila maharage wanavimbiwa, mwendo ni kujamba tu bila kujua umejamba mara ngapi.