Unajamba mara ngapi kwa siku?

Status
Not open for further replies.
Kuna wengine wakila maharage wanavimbiwa, mwendo ni kujamba tu bila kujua umejamba mara ngapi.
Ni kweli ni ngumu kuhesabu,japo ukiweka nia unaweza,pia najaribu kufikiri kuwa huenda kujamba kunaweza kukuongezea kipato,iwapo italetwa teknolojia ya kuhifafhi gesi inayotokana na mifuzi,mifuzi ni kijana cha kitendo kujamba
 
Utaenda mbele utarudi nyuma lakini kujamba kuko palepale....

Hutaki acha.
 
Na unapojamba unapata raha au unapata nafuu fulani? Na kati ya mwanaume na mwanamke,yupi hujamba mara nyingi zaidi?
Ni muda tu nilikuwa naona dalili ambazo si sahihi kwenye nyuzi zako. Nikamwambia mtu kuwa "huyu jamaa ndo basi tena ana mwelekeo wa mlengo wa kushoto" nlikuwa sahihi. Hii dunia imeharibika sana.
 
Kujamba kwa kweli wakati mwingine huleta raha kwani utumbo unapojaa hewa hukaza, unapojamba hulegea na kuleta ahueni. Mtu mzima hujamba kwa siri bila kutoa mlio wa kijambo. Ukijamba hadharani na mlio ukatoka utaonekana huna akili au umeamua tu kushangaza watu
 
ok
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…