choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Hujui kitu kuhusu Busisi wewe,Magari yanayokatiza kigamboni na kulipa ushuru kwa siku huwezi kulinganisha na magari yote yanayopita mkoa wa Manyara kwa Mwezi.
Labda uzungumzie daraja la Busisi sijui kama litakuwa na faida kama inavyotarajiwa. Lile lingejenga Kilomita nyingi za lami.