Kwani ni uongo? Wakulima wa huko hayawezi kulinganishwa na umuhimu wa Daraja la JPM!Haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ni uongo? Wakulima wa huko hayawezi kulinganishwa na umuhimu wa Daraja la JPM!Haya
Wamasai ni jamii inayosahaulika sana.
Hapo Arusha mjini penyewe hakuna stand ya mabasi na afcon ipo njiani kuja.
HayaKwani ni uongo? Wakulima wa huko hayawezi kulinganishwa na umuhimu wa Daraja la JPM!
Kweli mkuu, hoi barabara ni kimeo sana nilishawahi pita.Bara bara ya Tabora inayounganisha Mbeya bado ni vumbi na inasababisha ajali sana kwa hizo Bus za AN na jamaa zake bus linakimbia na fusso nayo imepakia zaga zake inakimbia kwenye bara bara moja ambayo kupishana gari moja inatakiwa lisimame huko na Vumbi la kutosha juzi limeanguka hilo AN na kuua baadhi ya abiria kisa bara bara mbovu na magari machakavu ambayo inabidi yapite huko..
Hata Mimi,Kwa sababu thmetumia pesa nyingi kwenye mradi wa kupigia picha.Yani mkuu choice hiki kitu kinaniumaga sana. Na ni zaidi ya 15 trillion. Nigger needs redemption maamaee.
Hakuna ubaguzi ni vipaombele vya kiuchumi vinaangaliwa vianze vingine vitafuata.Umenikumbusha Orkesumet mitaa yangu enzi nalima huko na lile libasi moja mnajazana na wamasai kama nyanya. Linakimbizwa balaa. Mitaa ya Nabelela. Cha ajabu kule ni karibu sana na arusha mjini lakini unalazimika kutembea masaa sita tena kwa mwendo mkali sababu barabara mbovu na mashamba yote yale na madini ule mlima Nabelela ni madini tupu bado kuna njia ya kutokea kondoa na inaunganisha mpaka wilaya ya Kilindi. Sielewi waafrika tuna matatizo gani.
Ndugu mimi ni mtanzania wa kawaida kabisa ngorofa naisikia tuUmeshashiba na kuvimbiwa hela za wizi na hilo lighorofa lako mbweni kukinyesha tu mafuriko.
Unamueleza ukiwa TANZANITE bridge au Mbulu wilayani?Remember resources are limited we need to priotize our priorities kwahyo viongozi wako waliona kujenga madaraja ni best optional kuliko barabara lkn ata hvyo madaraja lazma yaunganishwe na barabara. So just be calm ur time will come.
Kuzaliwa Afrika ni LaanaUnatumia Trilioni 11 kujenga miundombinu ya reli ya umeme ndani ya km 722 tuu wakati 3/4 ya Nchi imejaa Barabara za matope ambapo hizo 11T zingepunguza tatizo Kwa zaidi ya 1/3.
Akili za mtu mweusi hizo.
Hahahah hawa Wamaasai,Wairaq na Wamang'ati wanaomba huruma ya serkali ili ipeleke lami huko porini naiachane na ujenzi wa madaraja kwenye maeneo muhimu ya kichumi!Unamueleza ukiwa TANZANITE bridge au Mbulu wilayani?
Hata kama wangejenga msingekosa la kusema!Kuzaliwa Afrika ni Laana
Soma nilichoandika punguza pupaHakuna ubaguzi ni vipaombele vya kiuchumi vinaangaliwa vianze vingine vitafuata.
Na ile reli ya Tazara ni bora isingejengwa imetutia kwenye madeni makubwa na faida ya hiyo reli hata hatuoni.Iko hivyo sehemu kubwa ya Nchi sio Simanjiro pekee.
Hapo Sasa ndio anzeni kushangilia SGR
Hata mimi nimeshamwelewa sana kwa unafiki wao hawa watu sio, uwanja wa bilion 350 hawjaona, mradi wa maji wa bilion 520 hawajaona na conference na satellites citie za mabilion ya pesa hawayasemi.Huyo mnafiki daraja lingekuwa huko Arusha asingeongea ila kwa vile liko Mwanza unaona anarukaruka hapa kama maharage ya Mbeya!
Kwanza hata Busisi hajawahi kufika akaona wingi wa magari na watu wanaovuka hapo kwa siku!
Stendi za mabasi ndio zinaongeza nini kwa mashabiki wa mpira, ilo li uwanja linafaida gani baada ya mashindano kuisha?Wamasai ni jamii inayosahaulika sana.
Hapo Arusha mjini penyewe hakuna stand ya mabasi na afcon ipo njiani kuja.
Hawa watu wa kaskazini wamejaa ubinafsi sana.Wananchi hamna jema
Ni sehemu gani ya nchi nje ya Dar na Dodoma ambako barabara sio changamoto.Hata barabara tu bado ni changamoto.
Population inayopita daraja la Busisi unaijua?.Magari yanayokatiza kigamboni na kulipa ushuru kwa siku huwezi kulinganisha na magari yote yanayopita mkoa wa Manyara kwa Mwezi.
Labda uzungumzie daraja la Busisi sijui kama litakuwa na faida kama inavyotarajiwa. Lile lingejenga Kilomita nyingi za lami.