Unajenga barabara juu ya maji wakati ndani ya nchi kwa mfano Arusha -Kiteto barabara ni mbaya sana kuna gari moja tu

Hujui kitu kuhusu Busisi wewe,
 
Dah! umenikumbusha mbali mabasi yalikuwa coastline na kimotco.
 
Mleta mada una hoja.

Najua kuna tatizo kubwa la matumizi yasiyofaa ya fedha za umma lakini tatizo lingine kubwa ni kukosekana kwa vipaumbele katika kufanya miradi ya maendeleo. Ukweli ni kwamba, maeneo mengi sana nchini bado hayafikiki kwa barabara ya lami na kuwa na uhakika wa usafiri. Umetoa mfano wa Kiteto lakini ni maeneo mengi.
'
Nadhani serikali ingewekeza pia kwenye kuunganisha Halmashauri zake zote kwa njia ya barabara kabla hatujaanza kujenga vitu fancy.

Nchi hii ni moja, haifai baadhi ya maeneo yasiwe na miundombinu ya uhakika.​
 
Wanalipishwa kwa sababu ya qliyetoa hela kujenga ni Pension Fund ila kama lingekuwa limejengwa na serkali bila ufadhili. wasingelipia na JPM bridge nadhani patakuwa kupita ni bure tu!
Point is, ni project nzuri yenye manufaa.
 
Road ya kutoka mbauda hadi kwa morombo yenyewe haifai..
Ombeni badala ya kujengewa uwanja mjengewe barabara ila mtoa mada ametukosea sana watu wa Mwanza yeye angejikita kuilaumu serkali kurundika miradi Dar na kuiacha mikoa ikiwa na ubovu mkubwa wa miundombinu!
 
Uwanja atujengewi sisi iyo nimipango yao..
 
Unatumia Trilioni 11 kujenga miundombinu ya reli ya umeme ndani ya km 722 tuu wakati 3/4 ya Nchi imejaa Barabara za matope ambapo hizo 11T zingepunguza tatizo Kwa zaidi ya 1/3.

Akili za mtu mweusi hizo.
Yani mkuu choice hiki kitu kinaniumaga sana. Na ni zaidi ya 15 trillion. Nigger needs redemption maamaee.
 
Umeshashiba na kuvimbiwa hela za wizi na hilo lighorofa lako mbweni kukinyesha tu mafuriko.
 
Mitaa ya dogo Chaliifrancisco anapolima ngwala na dengu na kuchunga mbusii.
 
Unatumia Trilioni 11 kujenga miundombinu ya reli ya umeme ndani ya km 722 tuu wakati 3/4 ya Nchi imejaa Barabara za matope ambapo hizo 11T zingepunguza tatizo Kwa zaidi ya 1/3.

Akili za mtu mweusi hizo.
Karne hii kutokua na SGR n backwardsness ya hali ya juu.
Hata anaepinga muangalie akili yake
 
Mitaa ya dogo Chaliifrancisco anapolima ngwala na dengu na kuchunga mbusii.
Hiyo njia Mirongo, Komolo, Naberera, Terat mpaka Namalulu asee hamna barabara humo ni kituko. Hiyo njia huwa tunapita na tractor kutoka Arusha kuja kutoboa kufika Langai ni karibia masaa 12 sehemu tu ambayo haina hata kilometer 200, na hapo tukifika Komolo tunapita shortcut ni kama kuitafuta Landanai, yani ni almost mnapita tu vichakani.

Wakulima kutoka Arusha tunaolima huo ukanda tunatumia gharama kubwa sana kisa uzembe wa serikali.
 
Wakulima wako Mbeya,Iringa,Kahama na Mpanda huko hakuna kitu bhana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…