mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
Wife simba nini mwanawane...hapo unaomba simba afunge magoli tuu ili baadae na weye ukafunge magoli kwenye uwanja mdogo
Mechi saa ngapiLeo ni siku muhimu na maalum sana kwenye ulimwengu wa soka Tanganyika pale Mnyama Simba mwakilishi pekee wa kimataifa Tanganyika... Atakaposhuka dimbani huko Morroco kumenyana kwenye fainali za CAF
Ni siku maalum sana kwa SIMBA kwakuwa ilifanikiwa kufika hatua hii miaka 30 iliyopita
Ni siku maalum pia kwakuwa mpaka kufika hapo ametoka mbali sana
Basi itengenezee umaalum wake kwakuwa huna hakika ya kuja kuona fainali nyingine.. Ifanye siku ya leo kuwa tukio la kipekee sana..
Mimi nimeshatua Bukoba hapa tangu jana lakini final destination ni hapo kwa M7 Kampala kiwanja maarufu cha PLAN B mtaa wa Mengo
Kwakuwa SIMBA anaenda kuushangaza ulimwengu wa soka..basi siku ya leo ifanye maalum sana kwa wivu mkubwa kabisa
Wabongo mlioko Kampala see you baadae PLAN B .. Tutatambuana kwa mavazi na lafudhi
Mungu ibariki SIMBAβ€πβ€π
Hatoki mtu hapaBasi nisamehe sana,kumbe umejipanga kwa vita natarajia wakati mechi ikiwndelea tutakuwa live hapa π
Nyekundu inang'aaπ’π’π’π’Vipi mzeya hapo kilingeni kwako hamjachungulia mechi tujue ukweli wa mambo kabla ya mambo yenyewe?
π₯π₯π₯Niko Mtwara, shughuli zimenibana ila ikifika mida ya mechi, ntaoga, nivae kijora kisha nijongee kunakooneshwa mtanange wa Simba.
Nakunywa maji ya tangawizi kwa wingi kuweka koo na sauti sawa ili nipige ukunga wa kutosha kila goli litapoingia....π.
Amsha amsha kama kawa, kama dawa...π .
Sijui nimeanza kumiksi madesa au niko kwenye mstari eehehe.
Poa poa, midamida π.
Pole jirani nipo bize na kibarua cha kulima mahindi, sitaweza kushirikiBinti Sayunii jiran naomba nikupitie !View attachment 3336745
Una lima Mahindi usikuππππPole jirani nipo bize na kibarua cha kulima mahindi, sitaweza kushiriki
Nadhani jioni
Mechi saa 4 usiku muda wa TZMechi saa ngapi
ππndiyo kibarua kinachoniweka mjini jiraniUna lima Mahindi usikuππππ
Haya jiran enjoy...
mm nishajua ni mahindi gan utalima usiku wa leo πππ .ππndiyo kibarua kinachoniweka mjini jirani
Wanacheza na nani kwanza hao Simba?Una lima Mahindi usikuππππ
Haya jiran enjoy...