Unajiandaa kuangalia fainali ya kukumbukwa ukiwa wapi?

Unajiandaa kuangalia fainali ya kukumbukwa ukiwa wapi?

Mkuu unasoma taarifa za CAF

CAF wanasema for the first time ,Wewe unasema miaka 30 iliyopita

Heshima taarifa za wahusika,Chanzo cha taarifa za mpira wa mashindano ya Afrika yanatoka CAF

Nenda website ya CAF.
 
Wameingia chaka halafu wakakuchukua na wewe mkaenda wote.. Rejea historia ya haya mashindano mwaka 1993 SIMBA alifanya nini
 
Asante sana inaelekea huyu ni mtoto wa juzi na hafuatilii mpira
 
Mkuu kama bado uko bukoba ,tafadhali fika rwamishenye kuna mbibi nampenda sana na kumkubali sana ,pita msalimie kwa niaba yangu kwakusema mjukuu wako anakupenda sana .

Najua bibi kwa kukuona wewe ataamini mjukuu wake sasa najielewa na pia nimebadilika kama ninao marafiki kama wewe .

Anyway simba nenda sisi nyuma yako
😀😀😀 hapana mkuu nimeshavuka tangu mchana muda huu niko ndani ya jiji la Kampala.. Ngoja nirudi i will do the needful
 
Mwonekano wa wachezaji wetu Leo na kocha wao
1747488129836.jpg
 
Back
Top Bottom