Nitashukuru sana😀😀😀 hapana mkuu nimeshavuka tangu mchana muda huu niko ndani ya jiji la Kampala.. Ngoja nirudi i will do the needful
Usiku sijui saa 4Nadhani jioni
Mie pia naona draw lkn sijajua kama 1-1 au 2-2mechi nishaingulia hii kwenye maono simba ataanza kufungwa goli mbili kisha atasawazisha baadae gemu inaishia 2 kwa 2.
bro, kula kimea mzee.Nipo home kwangu natumia pombe kali tu
Pombe ni tamu mno baada ya dakika tano nawasha bangi hapa nafanya meditationbro, kula kimea mzee.
Mapema sana leo, game haieleweki hii.