Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Maeneo ya Mwembejini Kinondoni DSM
You mean no malice to nobody.Pombe ni tamu mno baada ya dakika tano nawasha bangi hapa nafanya meditation
Mnachanganyia na nn?..Mkuu Sina pesa, tumenunua mzinga wa k vant tutacheki hapa hapa home!
Kaka tuleweYou mean no malice to nobody.
Haidhuru bro. Washa kitu shetani asepe.
Cc Rais wa Jobless promax Intelligent businessman .
Kavu na ice tuMnachanganyia na nn?..
Kula kimea bro.
Niletee korosho bibie.
Tafuta taste yoyote changanyia hapo inoge zaidi.Kavu na ice tu
I mean no malice to nobodyYou mean no malice to nobody.
Haidhuru bro. Washa kitu shetani asepe.
Cc Rais wa Jobless promax Intelligent businessman .
Asante sana inaelekea huyu ni mtoto wa juzi na hafuatilii mpira
Thanks. Ngoja tutafute ka kitu Cha kumix.Tafuta taste yoyote changanyia hapo inoge zaidi.
Muwa ni mzuri maana hauna harufu kali kama konki.
Chukua energy yoyote,
Maana energy inafanya uamke asubuh ukiwa sio mchovu.
Na pigen msos mapema kabisa.
Enjoy bro.
Wameingia chaka halafu wakakuchukua na wewe mkaenda wote.. Rejea historia ya haya mashindano mwaka 1993 SIMBA alifanya nini
Mkuu unasoma taarifa za CAF
CAF wanasema for the first time ,Wewe unasema miaka 30 iliyopita
Heshima taarifa za wahusika,Chanzo cha taarifa za mpira wa mashindano ya Afrika yanatoka CAF
Nenda website ya CAF.
Mno bro 😁😁😊💢💢💢😆😆😆