Unajiandaa kuangalia fainali ya kukumbukwa ukiwa wapi?

Unajiandaa kuangalia fainali ya kukumbukwa ukiwa wapi?

1747499402920.jpg
 
Mechi muhimu kama hii kwa nchi unakuta shabiki la yamga linapanua mdomo mkubwa kushangilia wapinzani wa simba inashangaza sana. Hiyo sio kariakoo dabi
Usitupangie nani wa kumshangilia kolo mkubwa wewe. Pambanane na hali.

NB: Mimi sio mzalendo ni mTz
 
TWINS SPORTS LOUNGE, IFAKARA MJINI
Kiwanja cha maana sana, jamaa amemwaga TV pale kama amechanganyikiwa. 🙌🏽
Mimi ntakua viunga vya The place sports pup.. hapo Twins mzunguko wa hewa mdogo ile mifeni jau sana...lolote baya liwakute makolo
 
Hizi pressure siziwezi nalog off kwa muda
 
Nasikia zinakuza kibamiaz

Korosho ni zaidi ya pweza....

Ushasikia na kazi ya lile tunda la korosho aka Bungo....😋😋😋

Sasa lile bungo lile tunda la korosho unalikamua yale maji maji yake unayamiminia kwenye tupu zenu wote wawili....

Angalizo ni kuwa hakikisha huwekeani na mtu ambaye hutaki kuendelea nae kula kashata yaani usiwekeane maji ya korosho na one night stand.....

Tukutane ngamani...😅😅😅😋😋😋.
 
Back
Top Bottom