Nasikia zinakuza kibamiazUmepata, ntakubebea zotee, mbichi na zilizokaangwa.
Upo na bwana rostamMi nipo Tabora wilaya Igunga kata ya Mhama.
Usitupangie nani wa kumshangilia kolo mkubwa wewe. Pambanane na hali.Mechi muhimu kama hii kwa nchi unakuta shabiki la yamga linapanua mdomo mkubwa kushangilia wapinzani wa simba inashangaza sana. Hiyo sio kariakoo dabi
Mimi ntakua viunga vya The place sports pup.. hapo Twins mzunguko wa hewa mdogo ile mifeni jau sana...lolote baya liwakute makoloTWINS SPORTS LOUNGE, IFAKARA MJINI
Kiwanja cha maana sana, jamaa amemwaga TV pale kama amechanganyikiwa. ππ½
Ikawe hivyo. AmenHapana tutamchapa 2
Nasikia zinakuza kibamiaz
Amewasambazia love Berkane