Unajiandaaje na maisha ya uzeeni?

Unajiandaaje na maisha ya uzeeni?

Yaan leo tu nilikua nawaza jambo hili naingia jf nakutana mada kama hii.Nimewaza sana vibanda vyangu vya mjini vitakua nitavipangisha vyote baada ya kumalizq kuvifanyia finishing.
Nataka niende kati ya mbeya ama Songwe ninunue shamba lenye miti tayari nifuge nikisubiri kifo
Kwa nini unatumia nguvu nyingi kujiandaa, wakati unajua kuna kifo?
 
Ninafanya kitu chepesi sana jomba lakini kina thamani mbeleni yani kama huna papara ni miaka 10 na kuendelea nacho ni ni ni ni KUPANDA MITI GHARAMA NI NDOGO SANA LAKINI MAVUNO TEMBO CHUKUA POINT 3 HIZO KUNA MIKARIBEA NA MIHUMULA AU PANDA MICHENZA NA MICHUNGWA
 
Hili ni wazo zuri linalohitaji uvumilivu
 
Wanaume wengi ndio huwa wanateseka sana uzeeni kuliko wanawake. Mara nyingi wanaume ndio wanahitaji zaidi kusaidiwa uzeeni wanawake mpaka wazeeke Sanaa ndio atashindwa.
Sasa kinachowaponza wanaume wengi huwa wanamess up wakiwa na nguvu unakuta mtu anamuacha mke wa ujana anakwenda na kuoa kabinti siku akizeeka huyo bi mdogo anampiga chini anajikuta hana pa kwenda. Na kama uliwatelekeza watoto wa mke mkubwa saa hiyo wao ndio watakuwa na kazi zao wako busy na mama yao wewe unabaki na ukiwa tu.. Ndio maana wanaume wengi wanakufa mapema
 
Tujiandae na uzeeni huku tukisali sana na kumuomba Mungu haya maisha unaweza jiandaa na ukaanguka Mungu ndo mpaji tuangalie fursa nzuri za kuwekeza fanya research
 
Back
Top Bottom