Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Uwe na hela lasivyo mke mzuri anakukimbiakwa kuoa mke mzuri tutakaye saidiana naye uzeeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe na hela lasivyo mke mzuri anakukimbiakwa kuoa mke mzuri tutakaye saidiana naye uzeeni
NAKAZIAUwe na hela lasivyo mke mzuri anakukimbia
Kwa nini unatumia nguvu nyingi kujiandaa, wakati unajua kuna kifo?Yaan leo tu nilikua nawaza jambo hili naingia jf nakutana mada kama hii.Nimewaza sana vibanda vyangu vya mjini vitakua nitavipangisha vyote baada ya kumalizq kuvifanyia finishing.
Nataka niende kati ya mbeya ama Songwe ninunue shamba lenye miti tayari nifuge nikisubiri kifo
Wengi humo ni 25-35jf kuna mzee wa 70s kweli atuambie
Nzuri tuNipo nipo. Mamboz? Za siku tele?
Kuna vibabu humu wewe acha kabisa. Haahhjf kuna mzee wa 70s kweli atuambie
vitagKuna vibabu humu wewe acha kabisa. Haahh
Kifo kiko pale pale kujiandaa ni jambo jema maana hatujui saa ama mda wa kifo.Pia sipendi kua mzee wa hovyo yaan mzee asie na mbele wala nyuma 🤣Kwa nini unatumia nguvu nyingi kujiandaa, wakati unajua kuna kifo?
Naogopa kudundwavitag
HahahahaKifo kiko pale pale kujiandaa ni jambo jema maana hatujui saa ama mda wa kifo.Pia sipendi kua mzee wa hovyo yaan mzee asie na mbele wala nyuma 🤣
Atakayekuwa anakubeba, ni nani?Kitanda au machela ya kunibebq na kunianika nje muhimu
Am 45yrsWengi humo ni 25-35
Hili ni wazo zuri linalohitaji uvumilivuNinafanya kitu chepesi sana jomba lakini kina thamani mbeleni yani kama huna papara ni miaka 10 na kuendelea nacho ni ni ni ni KUPANDA MITI GHARAMA NI NDOGO SANA LAKINI MAVUNO TEMBO CHUKUA POINT 3 HIZO KUNA MIKARIBEA NA MIHUMULA AU PANDA MICHENZA NA MICHUNGWA
Tuishi sasa hivi.Tuishi tu bila hofu et
mkuu mbona nimewahi ona kuna nyuzi una sifia kupanda mnazi kwa mkono mmoja imekuwaje tena uanataka kuoa mke mzuri ???kwa kuoa mke mzuri tutakaye saidiana naye uzeeni
sahihi kabisa, mimi team Nyeto, na mke mzuri ni BabyCaremkuu mbona nimewahi ona kuna nyuzi una sifia kupanda mnazi kwa mkono mmoja imekuwaje tena uanataka kuoa mke mzuri ???