Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Namna tunavyokula kuku, samaki n.k baada ya vifo vyao, nasi tutakuwa hivyo hivyo kwa viumbe vingine.Tukifaa tunajiandaa na adhabu za kaburi. Halooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namna tunavyokula kuku, samaki n.k baada ya vifo vyao, nasi tutakuwa hivyo hivyo kwa viumbe vingine.Tukifaa tunajiandaa na adhabu za kaburi. Halooo
naona kama cha muhimu ni helaTupo, tunaimarisha uwezo wa macho kuona
Kula vyako. Warithi hawana shukrani.
Uzee ni umri wa kuwa tegemezi kama mtoto mdogo, kama katika ujana wako ulijipanga vizuri na kujiwekeza vya kutosha katika rasilimali fedha, miradi, na watu n.k uzee kwako hautakuwa kero kwa wengine.
Tofauti na hapo, utakuwa unawaachia laana kwa wale wote watakao kuwa tofauti na matakwa yako katika uzee wako, pale inapotokea kuwa na uhitaji fulani na haufanikiwi.
Kwangu binafsi, napambana na kuwa na watoto wengi, na kama itawezekana huko mbeleni itabidi nitafute eneo la kijiji, angalau ekari kumi, bahati nzuri ardhi kijijini inauzwa bei nafuu; humo ndani niishi na vijana wangu pamoja na mifugo.
Lengo likiwa nikigeuka huku na kule naona vijukuu na watoto ili kupunguza upweke na msongo wa mawazo katika uzee wangu.
Je ,wewe unajiandaaje na maisha ya uzeeni?
Hela ni muhimu, ila utu ni muhimu zaidi; ndio maana mtu akifikia umri wa uzee anakuwa anatamani kuwa karibu na watunaona kama cha muhimu ni hela
kwasababu uwezekano wa kuumwa sana ni mkubwa
hata mtu wa kukuhudumia inabidi alipwe pia
ndo uwe na hela sa ulipie,Hela ni muhimu, ila utu ni muhimu zaidi; ndio maana mtu akifikia umri wa uzee anakuwa anatamani kuwa karibu na watu
Hii ni kweli, unaweza kujitesa kwa kujinyima sana, baada ya kifo ufujaji ukawepo.Kula vyako. Warithi hawana shukrani.
Tuishi tu bila hofu etYaani haya maisha usipokuwa makini utakufa ukiwa unajiandaa tu:
- Ukiwa mtoto unajiandaa na shule
- Ukiwa shule unajiandaa na kazi au ajira
- Ukiwa na kazi unajiandaa na uzer
- Ukiwa mzee unajiandaa na kifo
Umeishi lini sasa?
Najiandaa na kilimo cha matikiti at my 60sYaani haya maisha usipokuwa makini utakufa ukiwa unajiandaa tu:
- Ukiwa mtoto unajiandaa na shule
- Ukiwa shule unajiandaa na kazi au ajira
- Ukiwa na kazi unajiandaa na uzer
- Ukiwa mzee unajiandaa na kifo
Umeishi lini sasa?
Mbaya zaidi, vijana wa siku hizi hawaleti wajukuu kwa wazazi wao.ndo uwe na hela sa ulipie,
watoto waache mambo yao waje kukaa na wewe?
Wewe dada Upo kumbe??ulipotelea wapiTukifaa tunajiandaa na adhabu za kaburi. Halooo
Tukiamini kifo hakipo, wakati kipoTuishi tu bila hofu et
Kwa kutumia jembe la mkono, linaimarisha misuli na viungoNajiandaa na kilimo cha matikiti at my 60s
Na kwanini nisifike uzeeni?Una uhakika gani km utafika uzeeni?
Ingawa uzee ni safari ya lala salama na kuiaga duniaMaisha ya Uzee ni mazuri kama ulijipanga vizuri katika ujana wako! Heka heka za ulimwengu hazikukuti tena.
Nipo nipo. Mamboz? Za siku tele?Wewe dada Upo kumbe??ulipotelea wapi
Mla huliwaNamna tunavyokula kuku, samaki n.k baada ya vifo vyao, nasi tutakuwa hivyo hivyo kwa viumbe vingine.
Sawa!Ingawa uzee ni safari ya lala salama na kuiaga dunia