Unajifunza nini kupitia picha hii?

Kuna namna inaweza kutumika jamaa hawa wa sales wakafanya harakat z tuma kwa namba hii?
sasa zile namba unazani zinapatikanaje... iko hivi.. nakusajilia mpaka mwisho nakwambia mtandao unasumbua ila ukweli ni kwamba ussjili ilikamilika, hapo anakua kapata line ya kuiuza kwa tapel. ndio maana tunasisitizwa kukagua mara kwa mara namba zetu za NIDA zimesanili namba zp. usiyoijua futa fasta.
 
Kabisa mkuu.. Tatizo vijana wengi hatuamini kuanza vibiashara vidogovidogo.. Hata kama kuna ugumu, Lakini cha kwako unakua!!

Akili imeganda kwenye kutafuta ajira..
Hii ni barrier kubwa sana, although shida inabebana na shida watu wakisema hawana mitaji waeleweke vizur. Ndo mana tunataka serikali iwe na miradi strong endelevu ya kuempower vijana kwa life and behaviral skils.. ule mradi wa BBT kilimo wa Yule jamaa umeusikia ulipoishia?
 
Tunaangaliaje mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…