Unajifunza nini kupitia picha hii?

Unajifunza nini kupitia picha hii?

Maisha ni safari ndefu Mkuu

Ukikutana naye mtu wa hivyo kama una nafasi, mpe hata ofa ya Lunch

Kwa maana unaweza kukuta hajala chochote tangu asubuhi 🙌
Mkono shavuni unaongea mengi sana.. kuna majuto na sauti za kumkosoa kushindwa hapo kichwani. Naheshim sana mkono ukiwekwa shavuni kama hivyo
 
Ni aina ya promotion
Kuongeza mauzo
Ni satellite outreach!. Wanaemaga Kila kitu bure.. yani vocha bure na lain bure wakati huo anaetafuta watu atalipwa kwa commission. Hii haileti pich kwamba kuna outsource ya huduma hapa!

Kuna mtu kama raraa General supplies anaingia mkataba na vodacom na wanampa advance alafu yeye ndo anaweka standard zake kufikia lengo alilowekewa
 
Mkono shavuni unaongea mengi sana.. kuna majuto na sauti za kumkosoa kushindwa hapo kichwani. Naheshim sana mkono ukiwekwa shavuni kama hivyo
Tatizo vijana wa leo unaweza kuta kakaa hapo na mawazo kumbe anawaza hela amliwa kwenye ku bet

Au ana mawazo hela kashatumia kwa demu wake kashakojoa ndio akil zinarudi.

Mim siku hiz sina huruma sana na watu hasa hawa wa sales, nikikumbuka zile nyau, nilikua nalizipa 200k kwa mwezi halaf nazipa lunch na chai ofisin na bado nazipa nauli na kwenye sales kwa juu nawapa kamisheni kumbe zinakwenda kucheza cheza tu market na kurud gheto.

Ofisin internet zinachezea Forex zile mbuzi na simu za kuoiga kwa wateja mbuz moja ikauza ikasema imeibiwa kweenye mwendokasi...

Sina huruma kabisaa na hawa watu, acha wateseke tu. Hakuna kitu rahis rahis duniani.

Mungu anisamehe sana.
 
Uliajiri ndugu au uliformalize mfumo uliotumika katika uajiri wao?
 
Hapo mnaenda kiteam... so mnapofanya vizuri kamishen inakuwepo but haikidhi.. wajanja wa hizi kazi ndio hucheza na wazee wa Tuma kwenye namba hii angalau wasikose kabisa..
Freelancer anakuwa chini ya team leader anaemsimamia.
Anauziwa simcard 1 kwa tsh 100-200 inategemeana na mtandao.
Anauza simcard 1 tsh 1000, mteja akiweka vocha ndio freelancer anapata commission kwa miezi mi3 kwa simcard 1.

Usajili wa biometric ndio umefanya mambo yawe magumu maana system inaruhusu usajili wa simcard 1 kwa nida 1 ndani ya dkk 30, hilo linawafanya wanapata ugumu wa usajili simcards nyingi ili waziuze kiwizi.

Lakini kwa mwezi hakosi laki 3 ( zile elfu 1 za kila simcard + commission ya mwisho wa mwezi)
 
Naona watu wengi sana hamna elimu ya hii kamishen ndyo maana wengne wanasema vocha mara nini lkn ukweli uko hviii

Lain 1-10=10% No bonus
Lain 10-19=15% no bonus
Lain 20-49=35% Bonus 40k
Lain 50-79=55% Bonus 60k
Lain 80-99=65 Bonus 100k
Lain 100-119=75 Bonus 130k
Lain 120+=85 Bonus 150K
sasa hizo Asilimia % ni matumizi ya wateja wako kwa kila mwezi ndani ya miezi minne kwahyo wateja wako mfano wapo mia halaf kila mteja akatumia mwezi mzima Tsh 10000 wew utapata 75%=7500 kwa mteja mmoja kwhy leta wateja wengi pata % kubwa na Bonus kubwa
Hizi kazi kwa siku pato Lake linasogeza hata maisha ya kujitegemea? Au ilimradi utoke home?. Mana next year nataka nikadondoshe kichumba kimoja sehem hiv nianze na ufugaji wa kuku wa kiswahili na kilimo kama.. maeneo ya suburban ni mazur kwa urban farming.

What you think if Dkt. Gwajima D chini ya wizara yake kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kama dellloite na pharmacess wakaandaa mradi kama hii kusapoti vijana wenye nia?. Urban farming haihitaj mtaj mkubwa ni kama 1.2 m per unit?

Back
Top Bottom