Unajifunza nini kupitia picha hii?

Unajifunza nini kupitia picha hii?

Hahahaha🤣🤣🤣
Comment no #43 imenichekesha Sana Hadi nimetapika....

Astaghafirullah
Astaghafirullah
Astaghafirullah
 
Sema darah nawapa pole sana kwa wadada wahangaikaji wote,
No shortcutt they have to struggle for their happiness no more ideas b' use other routes are of shame
Hapo akijichanganya anakuwa mke wa kila mtu.. kwa hizi hizi buku buku tu. What you think of the alternative ways? Nadhani antenatal kizimba sokoni mbande kisewe pale asengafikia huku
 
Freelancer anakuwa chini ya team leader anaemsimamia.
Anauziwa simcard 1 kwa tsh 100-200 inategemeana na mtandao.
Anauza simcard 1 tsh 1000, mteja akiweka vocha ndio freelancer anapata commission kwa miezi mi3 kwa simcard 1.

Usajili wa biometric ndio umefanya mambo yawe magumu maana system inaruhusu usajili wa simcard 1 kwa nida 1 ndani ya dkk 30, hilo linawafanya wanapata ugumu wa usajili simcards nyingi ili waziuze kiwizi.

Lakini kwa mwezi hakosi laki 3 ( zile elfu 1 za kila simcard + commission ya mwisho wa mwezi)
Hesabu hizi zinaaply context gani hadi vijijin?
 
Tatizo vijana wa leo unaweza kuta kakaa hapo na mawazo kumbe anawaza hela amliwa kwenye ku bet

Au ana mawazo hela kashatumia kwa demu wake kashakojoa ndio akil zinarudi.

Mim siku hiz sina huruma sana na watu hasa hawa wa sales, nikikumbuka zile nyau, nilikua nalizipa 200k kwa mwezi halaf nazipa lunch na chai ofisin na bado nazipa nauli na kwenye sales kwa juu nawapa kamisheni kumbe zinakwenda kucheza cheza tu market na kurud gheto.

Ofisin internet zinachezea Forex zile mbuzi na simu za kuoiga kwa wateja mbuz moja ikauza ikasema imeibiwa kweenye mwendokasi...

Sina huruma kabisaa na hawa watu, acha wateseke tu. Hakuna kitu rahis rahis duniani.

Mungu anisamehe sana.
tatizo mnatafutaga wasiojielewa ili muwalipe kidogo kwa kazi kubwa waifanyayo. kingine hamtafuti watu wenye sifa..
pichani hapo ukipiga hesabu nje ya mwili jamaa kazidiwa thamani na vifaa alivyopewa na ofisi unategemea nini..?
 
Naona watu wengi sana hamna elimu ya hii kamishen ndyo maana wengne wanasema vocha mara nini lkn ukweli uko hviii

Lain 1-10=10% No bonus
Lain 10-19=15% no bonus
Lain 20-49=35% Bonus 40k
Lain 50-79=55% Bonus 60k
Lain 80-99=65 Bonus 100k
Lain 100-119=75 Bonus 130k
Lain 120+=85 Bonus 150K
sasa hizo Asilimia % ni matumizi ya wateja wako kwa kila mwezi ndani ya miezi minne kwahyo wateja wako mfano wapo mia halaf kila mteja akatumia mwezi mzima Tsh 10000 wew utapata 75%=7500 kwa mteja mmoja kwhy leta wateja wengi pata % kubwa na Bonus kubwa

Oh! Nadhan una ushhidi may be unahusika na hizi ishu moja kwa moja. Ukiachilia mbali hili la kuuza laini ni task gan huy mtu anaweza kuperfom na ananufaikaje?
 
Hesabu hizi zinaaply context gani hadi vijijin?
Bei ya simcard 1 bei halali ni 1000 popote, ila kwa sababu ya ushindani, kuna wanaopewa simcards za bure na company ili wao wazisajili bure kwa wateja. Hapo freelancer hanunui simcard lakini anapata connection kubwa ya wateja wapya so commission inapanda.
 
tatizo mnatafutaga wasiojielewa ili muwalipe kidogo kwa kazi kubwa waifanyayo. kingine hamtafuti watu wenye sifa..
pichani hapo ukipiga hesabu nje ya mwili jamaa kazidiwa thamani na vifaa alivyopewa na ofisi unategemea nini..?
Ofis hapo si imempa hiko kiskana cha vidole tu. Mana sim lazima uwe nayo wanaandika kabisa kwenye tangazo
 
Naona watu wengi sana hamna elimu ya hii kamishen ndyo maana wengne wanasema vocha mara nini lkn ukweli uko hviii

Lain 1-10=10% No bonus
Lain 10-19=15% no bonus
Lain 20-49=35% Bonus 40k
Lain 50-79=55% Bonus 60k
Lain 80-99=65 Bonus 100k
Lain 100-119=75 Bonus 130k
Lain 120+=85 Bonus 150K
sasa hizo Asilimia % ni matumizi ya wateja wako kwa kila mwezi ndani ya miezi minne kwahyo wateja wako mfano wapo mia halaf kila mteja akatumia mwezi mzima Tsh 10000 wew utapata 75%=7500 kwa mteja mmoja kwhy leta wateja wengi pata % kubwa na Bonus kubwa

Naona watu wengi sana hamna elimu ya hii kamishen ndyo maana wengne wanasema vocha mara nini lkn ukweli uko hviii

Lain 1-10=10% No bonus
Lain 10-19=15% no bonus
Lain 20-49=35% Bonus 40k
Lain 50-79=55% Bonus 60k
Lain 80-99=65 Bonus 100k
Lain 100-119=75 Bonus 130k
Lain 120+=85 Bonus 150K
sasa hizo Asilimia % ni matumizi ya wateja wako kwa kila mwezi ndani ya miezi minne kwahyo wateja wako mfano wapo mia halaf kila mteja akatumia mwezi mzima Tsh 10000 wew utapata 75%=7500 kwa mteja mmoja kwhy leta wateja wengi pata % kubwa na Bonus kubwa
tumia maelezo rahisi...... hiv kwa maelezo haya sindo matokeo ya picha hii... jamaa akaona kwenye Elfu Kumi elfu Saba Mia Tano inakua yangu.. sasa hiyo mirzi minne yakuisubiri 7500" hsuoni ni hela ndogo sana kulingana na Muda?
 
Acha kabisaa mkuu, nilishawah kuileta hii habar kwa id nyingine..sina hamu tena, kwakifupi nimerudi nyuma sanaaaaaaa kwaajil ya wale watu kias kwamba dooh!!acha tu, nikieleza sana usije ukaunganisha dots bure
Au wew ndo yule bos wangu pale gomz halipi akiletewa tenda anachikia hela juu kwa juu. Last time hamkufikishana polisi huku unalia?
 
Back
Top Bottom