Unajifunza nini kupitia picha hii?

Unajifunza nini kupitia picha hii?

Nimejifunza kwamba Makampuni ya simu wawape commission nzuri ma-agent wanaosajili simu zao.
Makampuni ya simu ni giant fimrs.. kuna meseji hapo " kwa kadri mfanyakaz anavyokzwa n hali ngum ya kazi au mshahara kidogo ndivyo hivyo kampuni inakuwa tajiri zaidi". So utajir na umaskin ni pande mbili za sarafu moja.. ili uwe tajiri lazima kuna watu wakandamizwe vya kutosha

Thanks for concern
 
Hapo unakuta toka amekunywa chai asubuhi mpaka mida hiyo maybe saa 10 lakini hajapata hata mteja mmoja, hana nauli, anajiuliza hata nikifika home nakula nini.
Although kijijin kuna hali mbaya sana kwa kazi nyingi zinzoweza walau kusukum maisha mjini. Kwa hali ya udongo huu hauhisi kama yuko tabora huyu?
 
Makampuni ya simu ni giant fimrs.. kuna meseji hapo " kwa kadri mfanyakaz anavyokzwa n hali ngum ya kazi au mshahara kidogo ndivyo hivyo kampuni inakuwa tajiri zaidi". So utajir na umaskin ni pande mbili za sarafu moja.. ili uwe tajiri lazima kuna watu wakandamizwe vya kutosha

Thanks for concern
Babylon system is a vampire - Bob Marley
 
Although kijijin kuna hali mbaya sana kwa kazi nyingi zinzoweza walau kusukum maisha mjini. Kwa hali ya udongo huu hauhisi kama yuko tabora huyu?
Why tabora😁
Hiyo picha tunaweza ifanyia mzaha ila mtu aliewahi pitia life ngumu isiyo na tumaini, anaweza kuhisi maumivu aliyonayo huyo binti.
 
Vijijin n siriaz sana. Mjini ndo Kimbilio... Tabora sijawah kukaa lakin kila nikiingalia nataman kulia. Kama pale igunga stendi doh!
 
  • Thanks
Reactions: 511
Hii kazi at least wadada inawawaia vyedii, coz kuna virupurupu wanapata kutoka kwa wateja wa kiumee.
Ila hawa Kaka zangu, msotoo wanao sana tyuu na wanatamba nao.
Poleee zao. Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiv zinakuaga na training hizi? Namna ya kuielezea bidhaa au kujenga maelezo yanayovutia kwa mteja
 
Back
Top Bottom