Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa kawaida picha huzungumza zaidi kuliko hata Mdomo wenyewe.
Pichani ni waheshimiwa viongozi wetu mbalimbali wakati huo wakiwa Mjengoni pamoja wakituwakilisha sisi watanzania.
Je wewe Umejifunza nini kutokea katika picha hii?
Mimi nimejifunza kuwa Mheshimiwa Joseph Kasheku Msukuma Mbunge wa Geita inaonyesha ni mtu anayependa sana kujisomea na kufuatilia vitu mbalimbali vinavyokuwa vinajili na kuendelea Bungeni.
Ni mtu ambaye inaonyesha anasoma sana nyaraka za Bunge zinazokuwa mezani Pake. Pengine ndio sababu amekuwa akichangia mijadala mingi na hoja nyingi sana bungeni kwa kutoa hoja Chanya na zenye mashiko kama ambavyo tuliona katika suala la kikokotoo ambapo ni miongoni kwa Michango yake ilipelekea serikali kusikia kilio cha wastaafu na kubadili sheria hiyo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.