Unajifunza Nini kutoka Kwenye Picha Hii Ya Waheshimiwa?

Ndugu zangu Watanzania,

Kwa kawaida picha huzungumza zaidi kuliko hata Mdomo wenyewe.

Pichani ni waheshimiwa viongozi wetu mbalimbali wakati huo wakiwa Mjengoni pamoja wakituwakilisha sisi watanzania.

Je wewe Umejifunza nini kutokea katika picha hii?

Mimi nimejifunza kuwa Mheshimiwa Joseph Kasheku Msukuma Mbunge wa Geita inaonyesha ni mtu anayependa sana kujisomea na kufuatilia vitu mbalimbali vinavyokuwa vinajili na kuendelea Bungeni.

Ni mtu ambaye inaonyesha anasoma sana nyaraka za Bunge zinazokuwa mezani Pake. Pengine ndio sababu amekuwa akichangia mijadala mingi na hoja nyingi sana bungeni kwa kutoa hoja Chanya na zenye mashiko kama ambavyo tuliona katika suala la kikokotoo ambapo ni miongoni kwa Michango yake ilipelekea serikali kusikia kilio cha wastaafu na kubadili sheria hiyo.View attachment 3252858

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Hiyo ni kuwaaminisha wajinga kama wewe kuwa anasoma sana, hivi kwa akili yako kwa masaa anayokuwa bungeni kwa siku moja amesoma vitabu vyote hivyo? Msukuma amekupata kweli kweli wewe boya.
 
Kumbe unaelewa Wewe,kazi Yako kusifia tuu chama kijani hata kikikosea,poti Bwana acha kujitoa ufahamu,nitakuleta Mirembe!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa kawaida picha huzungumza zaidi kuliko hata Mdomo wenyewe.

Pichani ni waheshimiwa viongozi wetu mbalimbali wakati huo wakiwa Mjengoni pamoja wakituwakilisha sisi watanzania.

Je wewe Umejifunza nini kutokea katika picha hii?

Mimi nimejifunza kuwa Mheshimiwa Joseph Kasheku Msukuma Mbunge wa Geita inaonyesha ni mtu anayependa sana kujisomea na kufuatilia vitu mbalimbali vinavyokuwa vinajili na kuendelea Bungeni.

Ni mtu ambaye inaonyesha anasoma sana nyaraka za Bunge zinazokuwa mezani Pake. Pengine ndio sababu amekuwa akichangia mijadala mingi na hoja nyingi sana bungeni kwa kutoa hoja Chanya na zenye mashiko kama ambavyo tuliona katika suala la kikokotoo ambapo ni miongoni kwa Michango yake ilipelekea serikali kusikia kilio cha wastaafu na kubadili sheria hiyo.View attachment 3252858

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Hata kina Lema ni wanaCCM mioyoni mwao.
 
Hiyo ni kuwaaminisha wajinga kama wewe kuwa anasoma sana, hivi kwa akili yako kwa masaa anayokuwa bungeni kwa siku moja amesoma vitabu vyote hivyo? Msukuma amekupata kweli kweli wewe boya.
Anasoma vyote na kuvimaliza maana siyo kichwa Panzi kama wewe
😀😀
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa kawaida picha huzungumza zaidi kuliko hata Mdomo wenyewe.

Pichani ni waheshimiwa viongozi wetu mbalimbali wakati huo wakiwa Mjengoni pamoja wakituwakilisha sisi watanzania.

Je wewe Umejifunza nini kutokea katika picha hii?

Mimi nimejifunza kuwa Mheshimiwa Joseph Kasheku Msukuma Mbunge wa Geita inaonyesha ni mtu anayependa sana kujisomea na kufuatilia vitu mbalimbali vinavyokuwa vinajili na kuendelea Bungeni.

Ni mtu ambaye inaonyesha anasoma sana nyaraka za Bunge zinazokuwa mezani Pake. Pengine ndio sababu amekuwa akichangia mijadala mingi na hoja nyingi sana bungeni kwa kutoa hoja Chanya na zenye mashiko kama ambavyo tuliona katika suala la kikokotoo ambapo ni miongoni kwa Michango yake ilipelekea serikali kusikia kilio cha wastaafu na kubadili sheria hiyo.View attachment 3252858

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Asiyejua kusoma ameshika gazette la The guardian
 
Elimu ni Zaidi ya vyeti vya Darasani
Kwa mara ya pili unaandika kitu cha kweli na kilicho na maana.
Kwa nini unakuwa chawa wakati unaonekana una akili timamu!!??
Kama ni njaa,tafuta kazi halali yenye heshima ufanye uachane na uchawa.

Kizazi chako kikija kukusoma huko mbeleni, (internet inahifadhi vitu), watakuja kubadilisha huo ubini kwa fedheha ya maandishi yako.
 
Hujala

hujalala muda gani uliyepost hiyo 🤣🤣🤣
 
Nimejifunza kuwa chai na vitumbua ni tamu sana. Chai ya mama na kitumbua cha mama.

Mama anaupiga mwingi.
 
Back
Top Bottom