Unajilinda vipi Na magonjwa ngono ukiwa ndani ya ndoa?

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,559
Reaction score
12,518
Kuna watu wakishaoa au kuolewa tayari jukumu la kulinda afya zao wanawachia wenza wao. Yani anaamini kwa kuwa na mtu huyo huyo hataweza kupata magojwa? Swali je mwenza wako ni mwaminifu? Je utajilinda vipi ukiwa ndoani?.

1784810115543.jpg
 
Hivi mwanamke unayeshiriki naye tendo daily unashindwa kujua tofauti kama katoka kuikalia na vimiminika vimewekwa humo? Au mume mlevi?

Nmewahi kuhusiana na mke wa mtu alikuwa strict kumwaga ndani kama mumewe yupo maana itabidi atoe excuse asiliwe na mume siku hiyo otherwise ni LAZIMA atajua tu akiloweka hiyo baadae.
 
Nani ana muda wa kuanza kuchunguza uchi wa mtu mzima?
 
Hivi mwanamke unayeshiriki naye tendo daily unashindwa kujua tofauti kama katoka kuikalia na vimiminika vimewekwa humo? Au mume mlevi?

Nmewahi kuhusiana na mke wa mtu alikuwa strict kumwaga ndani kama mumewe yupo maana itabidi atoe excuse asiliwe na mume siku hiyo otherwise ni LAZIMA atajua tu akiloweka hiyo baadae.
We jidanganye 🤣 kwamba huo uchafu wako hautoki au mtu kaliwa asubuhi wewe unakuja kula jion haya akisema amejiosha huko
 
Hivi mwanamke unayeshiriki naye tendo daily unashindwa kujua tofauti kama katoka kuikalia na vimiminika vimewekwa humo? Au mume mlevi?

Nmewahi kuhusiana na mke wa mtu alikuwa strict kumwaga ndani kama mumewe yupo maana itabidi atoe excuse asiliwe na mume siku hiyo otherwise ni LAZIMA atajua tu akiloweka hiyo baadae.
Ni ngumu kujua , uke unasafisha uchafu wa manii automatically kwa masaa machache sana
 
Hivi mwanamke unayeshiriki naye tendo daily unashindwa kujua tofauti kama katoka kuikalia na vimiminika vimewekwa humo? Au mume mlevi?

Nmewahi kuhusiana na mke wa mtu alikuwa strict kumwaga ndani kama mumewe yupo maana itabidi atoe excuse asiliwe na mume siku hiyo otherwise ni LAZIMA atajua tu akiloweka hiyo baadae.
Mimi hata akiliwa jana, akiileta leo najua tu imetoka kuchapwa
 
Back
Top Bottom