UNAJIMU: Sayari ya Mercury na Athari zake katika Maisha yetu

Naomba nijibu kama hutojali. Unaamini katika Mungu.?
 
Na mimi nina swali lako ManchoG , hivi kwa nini tabiri za kinajimu zina mapokeo tofauti ukilinganisha na tabiri zingine kama tabiri za hali ya hewa (weather forecast) ama tabiri za mahitaji (demand forecasts).

Kumbuka zote hizo ni tabiri, na watu wanachukulia kawaida. Kwa nini unajimu?
 
Kila kitu ni vile wewe unavyoamin me naamini kila litokealo duniani ni mungu kapema sio sayar wala chombo chochote kile duniani thuts all
 
Kwa hiyo kila kitu kigumu hakijulikani?

Ninachotaka uelewe hapa, Kuusoma na kuuelewa unajimu sio kama kukanda chapati. Unatakiwa uwe zaidi ya serious kuimaster hii kitu.

Mi nimetumia miaka 3 lakini bado kuna watu sijawafikia.
Umesomea chuo gani MKUU?
 
Mbona tumesaini mkataba na wakorea mwezi wa saba ? Hatujasubiri hiyo Agosti?
Unanikumbusha mambo ya MM Ezekiel ktk magazeti. Inshort unajimu si chochote si lolote naona kama utawapiga watu hela humu
 
Unaweza kubainisha ni ipi.?

Nikiwa na maana ya kutaka kujua kama ni hizi tunazozifahamu sisi za ukristo na uislamu au una imani nyingine.?
Dini ni Imani, na kila mtu ana amini anachokijua yeye mwenyewe. Kwa sasa sipo kwenye hizi ukristo wala uislam.

Maelekezo ya kwanza ya Unajimu kwa ufupi sana niliyapata kwa muislam, tena mwalimu wa madrasa. Ingawa nikaja kugundua baadae anajua vitu vichache sana.

Ndipo nikaanza kujiendeleza mwenyewe kupitia online course. Na 90% ya elimu hii nimeipata mataifa ya magharibi.
 
Mbona tumesaini mkataba na wakorea mwezi wa saba ? Hatujasubiri hiyo Agosti?
Unanikumbusha mambo ya MM Ezekiel ktk magazeti. Inshort unajimu si chochote si lolote naona kama utawapiga watu hela humu
Kwa hiyo kuna mtu atakufunga kamba usisaini mikataba???

Elewa jambo moja, hizi planets hazina kazi ya kutuzuia wala kutushurutisha sisi kufanya lolote, isipokua kazi yake ni kutoa ishara kwetu tunapotaka kufanya jambo fulani.

Hata mimi sikuelewa unajimu kwa siku moja, nilipata tabu kama wewe.
 
Sawa nimekuelewa shukran
 
Kila kitu ni vile wewe unavyoamin me naamini kila litokealo duniani ni mungu kapema sio sayar wala chombo chochote kile duniani thuts all
Kila kitu duniani kinapangwa na Mungu, hizi sayari kazi yake ni kutoa ishara tu basi.
 
Mimi wajibu wangu ni kumleta Kiranga hapa![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Hakuna mchafua nyuzi za watu kama wewe mkuu!!....Ukibisha nitaagiza kura
ipigwe!![emoji53][emoji53][emoji53]
Nyuzi nyingine naachia wadanganyane tu.

Nawasoma naona ujinga kama vichekesho fulani kwamba dunia ya leo ya kutembea na internet kiganjani kwenye 4G network, bado watu wanaamini ujinga wa kijima.

Eti Mercury in retrograde inasababisha mkinzano kwenye mikataba.

What a load of bollocks.
 
Last edited:
Nyuzi nyingine naachia wadanganyane tu.

Nawasoma naona ujinga kama vichekesho fulani kwamba dunia ya keo ya kutembea na internet kiganjani kwenye 4G network, bado watu wanaamini ujinga wa kijima.
Mkuu Jua na mwezi ni sayari![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…