UNAJIMU: Sayari ya Mercury na Athari zake katika Maisha yetu

UNAJIMU: Sayari ya Mercury na Athari zake katika Maisha yetu

Kwanza kabla hujauliza una dini niambie nini maana ya dini
Dini ni kundi la watu waliokubaliana na mungu wao na kutenda yale anayoyataka mungu wao mfano.mungu wa waislam ameruhusu kuoa wake hadi wa nne..mungu wa wasabato haruhusu kabisa kula kambale pia anataka ibada iwe jumamosi..mungu wa wakatoliki anataka wao wasali rozali na wajipake majivu kuelekea kwaresma
 
Kwanza kabla hujauliza una dini niambie nini maana ya dini
Wewe ndiye uliyetolea ufafanuzi unaoujua wewe mwenyewe

Na kupitia huo ufafanuzi ukajitosheleza mwenyewe kuwa Dini na unajimu vyote ni sawa

Na ni mazao ya Imani

Na imani ambayo hata mtu akilishwa Matango pori kwake ni sawa Tu

Labda ulitakiwa kuniomba ufafanuzi juu la swali langu

Na tusiende mbali _ni sawa ningekuuliza una Imani katika ivyo vitu.?

Na ulitakiwa kujibu ndio au Hapana na ningekuelewa
 
Wewe ndiye uliyetolea ufafanuzi unaoujua wewe mwenyewe

Na kupitia huo ufafanuzi ukajitosheleza mwenyewe kuwa Dini na unajimu vyote ni sawa

Na ni mazao ya Imani

Na imani ambayo hata mtu akilishwa Matango pori kwake ni sawa Tu

Labda ulitakiwa kuniomba ufafanuzi juu la swali langu

Na tusiende mbali _ni sawa ningekuuliza una Imani katika ivyo vitu.

Na ulitakiwa kujibu ndio au Hapana na ningekuelewa

Dini maana yake ni njia ya maisha na hakuna mtu asiyekuwa na njia ya maisha ktk ulimwengu huu kwani ulikuwa na lengo gani kuuliza hivyo.?
I
 
Dini ni kundi la watu waliokubaliana na mungu wao na kutenda yale anayoyataka mungu wao mfano.mungu wa waislam ameruhusu kuoa wake hadi wa nne..mungu wa wasabato haruhusu kabisa kula kambale pia anataka ibada iwe jumamosi..mungu wa wakatoliki anataka wao wasali rozali na wajipake majivu kuelekea kwaresma

Umeeleza vzr ingawa umejikita ktk aina za dini kumbuka neno dini ni asili ya kiarabu ungejaribu kutoa maelezo kdg ktk asili yake ingekuwa vzr
 
Ushauri na Elimu gani? Haya uliyoandika?come on man... Why dya like to take people's problem for granted?

Watu hamuwaonei huruma mnataka waendelee tu kutapeliwa?

Kuanzia tarehe 26/07/2018 usiku saa 7 hadi tarehe 19/08/2018 sayari ya Mercury inakua inazidiwa kasi na Dunia hivyo sayari ya Mercury kuonekana kama inarudi nyuma lakini kiuhalisia inakua inakwenda katika mwendo wake wa kawaida.

Tukio kama hili kinajimu kinaitwa (Retrograde), na kwa sayari ya Mercury hufanya hivi Mara 3 hadi 4 ndani ya mwaka 1. Mercury huwa katika hali hiyo kwa muda wa siku 21 hadi 25.

TAFSIRI YAKE KINAJIMU.

Mercury inapokua katika hali hii huleta mkanganyiko katika masuala yote yanayohusu mawasiliano. Kuanzia mazungumzo ya kila siku, mikataba, kuuza na kununua, hati, makubaliano, safari, barua na mengine yanayofanana na hayo.

Mambo hayo niliyoyotaja hapo juu huwa katika mwendo wa kujikongoja tofauti na ilivyo kawaida. Kunakua na kuchelewa na changamoto nyingi sana katika masuala mengi yanayohusu mawasiliano.

Hivyo katika kipindi hiki si kizuri kufanya yafuatayo;

kusaini mkataba wowote muhimu, kuanzisha biashara mpya, hakikisha unapitia kwa umakini meseji tunazotuma na kuzipokea. Kuhama na kuhamia nyumba mpya. Mercury unapokua katika hali hii huwa inaleta utata katika mazungumzo ya kila siku. Mtu anaweza akakwambia hivi halafu unaemwambia akaelewa tofauti na ulivyokusudia. Kwa hiyo ni vizuri kuuliza mara mbili kama hujaelewa.

Hiki ni kipindi kizuri cha kufanya marekebisho vitu vyote vinavyohusiana na mawasiliano kama vile simu, computer, radio, Tv lakini sio muda wa kununua chochote kipya kinachohusiana na hiki. Pia ni muda wa kurudia kusoma upya barua, documents, na kupitia upya mikataba ambayo uliosaini hapo mwanzo. Kufanya hivi kutapelekea kugundua tatizo ambalo hukuligundua mwanzo.

Mwenye masikio na asikie......

Kwa Ushauri, Elimu etc.... Nicheki.
WhatsApp 0782 82 11 77.
 
Back
Top Bottom