Sasa hapo nushakuelewa nini unataka.
Inataka niandike in details, sawa hiyo inawezekana na hakuna hata ambacho hatujasoma hapo.
Lakini kwa namna unavyotaka wewe hivyo basi niandike page zaidi ya 20 kuthibitisha kwa sababu kuna vitu vingine ambavyo sikuviandika hapa na ambavyo ni lazima uvijue. Huko ndio ntaeleza kwa nini Mercury amekua messenger of the sky na sio Venus au Mars. Ipo sababu ambayo itanibidi niandike makala ndefu zaidi.
Option nyingine ni wewe kuamua kujifunza kwa kiwango fulani kinachoridhisha, hata kama nikiweka makala na wepesi kunielewa.
Kwa sababu kwenye hili bandiko mimi nimegeneralize, na sitaweza kwenda deep kwa kiasi unachotaka coz itabidi nikuanzie mwanzo kabisa, ambapo utajua kwa nini mercury anafanya kazi hizo.
Kwa sababu hii Retrograde ni topic kabisa inayojitegemea. Na mimi nilichofanya kama kuchota portion yake na kuiweka.
Lakini ni mkweli nikiandika kwa machache hivi hutakaa ukaelewa hata siku moja. Inabidi upewe hata kitabu kizima ukae peke yako ujisomee. Ama kama ntaweza kukipandisha hapa ntakiweka.