UNAJIMU: Sayari ya Mercury na Athari zake katika Maisha yetu

UNAJIMU: Sayari ya Mercury na Athari zake katika Maisha yetu

Dini na unajimu zote sawa mafundisho yake yote yanategemea imani huwezi kuthibitisha kama yana ukweli unachotakiwa ukubali ht km uongo

Hata yesu alitabiriwa na magician nyinyi mnasema manabii kuthibitisha wao walimtabiri alipozaliwa wakaona nyota yake wamajusi wakaenda kumsujudia

Astrology + religion= delusion

Astronomy+science= facts

Unaona utofauti kati ya prediction na uncertain ingawa zote ni probability
Wewe una dini.?
 
Write your reply..
Tatizo la wengi humu ni uwezo mdogo wa kufikiri. Hebu jaribu kujiuliza kwanini mtu mwenye kifafa au mataahira wanazidi hasa kipindi cha mwezi mpevu?
Ukijiuliza hayo utagundua kuwa kweli kuna namna fulani tunabe controlled na mizunguko ya sayari na mwezi.
Mkuu umemaliza kila kitu, binafsi naona sina misamiati rahisi ya kuwaelewesha wengine wakaelewa. Especially beginners.
 
Unaweza kuthibitisha kwamba kifafa kinaongezeka kipindi cha mwezi mpevu?
 
Mkuu umemaliza kila kitu, binafsi naona sina misamiati rahisi ya kuwaelewesha wengine wakaelewa. Especially beginners.
Hujathibitisha Mercury inaathiri mikataba duniani.

Hujathibitisha kifafa kinaongezeka kipindi cha mwezi mpevu.
 
Yaani Jamaa na yeye anazile habari kujiunga na group langu la WhatsApp ni 5000
Analeta bla bla tu
Hawa wengine inaonekana kama waganga wa kienyeji wamekuja kivingine tu hapa.

Wanatumia teknolojia kuongeza soko.

Watu wengi wapo JF na Whatsapp, na wao wanajiweka huku
 
Yaani Jamaa na yeye anazile habari kujiunga na group langu la WhatsApp ni 5000
Analeta bla bla tu
Bure inagharimu ndugu. Nishafundisha bure kwa muda wa miezi miwili. nikaona matokeo yake.

Kama elimu ni gharama basi jaribu ujinga.
 
Hawa wengine inaonekana kama waganga wa kienyeji wamekuja kivingine tu hapa.

Wanatumia teknolojia kuongeza soko.

Watu wengi wapo JF na Whatsapp, na wao wanajiweka huku
Hahahahhh...
Kuna wengine wanasema hili tukio la leo la moon eclipse litasababisha majanga makubwa sana hata kupelekea kiama duniani..
Nipo hapa nje nasubiria kwa hamu nione[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahahhh...
Kuna wengine wanasema hili tukio la leo la moon eclipse litasababisha majanga makubwa sana hata kupelekea kiama duniani..
Nipo hapa nje nasubiria kwa hamu nione[emoji3][emoji3][emoji3]
Ujima mtupu.

Kuna jamaa hapa alileta zake anasema sayari ya Mercury inaonekana kurudi kinyume sasa (Mercury in retrograde) hilo ni jambo ambalo kiunajimu litasababisha mikataba iende vibaya haoa duniani.

Nikamwambia thibitisha kuna uhusiano hapo.

Hadithi nyingi, kimepanda, kimeshuka, ooh, mi najua sana, we hujui, ooh njoo group la gu la Whatsapp.

Nikaona hapa ndio mwanzo wa kuchajiwa Sh 5,000 ili kuunganishwa group la Whatsapp la mganga wa kienyeji.

Mpaka sasa hajathibitisha.
 
Last edited:
Ujima mtupu.

Kuna jamaa hapa aliketa zake anasema sayari ya Mercury inaonekana kurudi kinyume sasa (Mercury in retrograde) hilo nibjambo ambalo kiunajimu litasababusha mikataba iende vibaya haoa duniani.

Nikamwambia thibitisha kuna uhusiano hapo.

Hadithi nyingi, kimepanda, kimeshuka, ooh, mi najua sana, we hujui, ooh njoo group la gu la Whatsapp.

Nikaona hapa ndio mwanzo wa kuchajiwa Sh 5,000 ili kuunganishwa group la Whatsapp la mganga wa kienyeji.

Mpaka sasa hajathibitisha.
Hahahahhh..
Itakua hii mikataba ya kipuuzi ya madini huwa tunapigwa sababu ya mercury retrograde
Itabidi jamaa aunganishwe na jiwe atoe msaada ili tusiwe tunasign utumbo kwenye hii mikataba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ukiwa na imani kwenye vitu hivi unakuwa mtumwa wallah yan,unaweza usivae nguo hadi uangalie nyota zinasemaje Leo nivae nguo gani,yan unakuwa driven
 
Hahahahhh..
Itakua hii mikataba ya kipuuzi ya madini huwa tunapigwa sababu ya mercury retrograde
Itabidi jamaa aunganishwe na jiwe atoe msaada ili tusiwe tunasign utumbo kwenye hii mikataba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
We acha tu.

Ila siwezi kushangaa watu wanaamini haya mambo hukonkwetu mpaka leo.

Hata Marekani as recently as the Reagan years, mke wake Reagan alikuwa anapanga kila kitu kwa ushauri wa astrologers.

But then again, the Reagans were from California.

Hollywood at that.

What do you expect?
 
Mercury ni ruler wa mambo yote yanayohusu mawasiliano, sasa inapokua ina transit retrograde ina express its energy inwardly more than outwardly.

Ni kama ina pause for some time. Sasa na mambo yote yanayohusu mercury ikiwemo mikataba nayo yanakua katika sluggish state.

That's why tunashauriwa na sisi tuachane na mambo yanayohusu mercury at all ikiwemo mikataba.

Usipoelewa na hapo ntaanza kupata mashaka na wewe.
UPUUZI HUU FANYA KAZI KIJANA ACHA UTAPELI
 
Back
Top Bottom