Wewe una dini.?Dini na unajimu zote sawa mafundisho yake yote yanategemea imani huwezi kuthibitisha kama yana ukweli unachotakiwa ukubali ht km uongo
Hata yesu alitabiriwa na magician nyinyi mnasema manabii kuthibitisha wao walimtabiri alipozaliwa wakaona nyota yake wamajusi wakaenda kumsujudia
Astrology + religion= delusion
Astronomy+science= facts
Unaona utofauti kati ya prediction na uncertain ingawa zote ni probability
Mkuu umemaliza kila kitu, binafsi naona sina misamiati rahisi ya kuwaelewesha wengine wakaelewa. Especially beginners.Write your reply..
Tatizo la wengi humu ni uwezo mdogo wa kufikiri. Hebu jaribu kujiuliza kwanini mtu mwenye kifafa au mataahira wanazidi hasa kipindi cha mwezi mpevu?
Ukijiuliza hayo utagundua kuwa kweli kuna namna fulani tunabe controlled na mizunguko ya sayari na mwezi.
Unaweza kuthibitisha kwamba kifafa kinaongezeka kipindi cha mwezi mpevu?Write your reply..
Tatizo la wengi humu ni uwezo mdogo wa kufikiri. Hebu jaribu kujiuliza kwanini mtu mwenye kifafa au mataahira wanazidi hasa kipindi cha mwezi mpevu?
Ukijiuliza hayo utagundua kuwa kweli kuna namna fulani tunabe controlled na mizunguko ya sayari na mwezi.
Hujathibitisha Mercury inaathiri mikataba duniani.Mkuu umemaliza kila kitu, binafsi naona sina misamiati rahisi ya kuwaelewesha wengine wakaelewa. Especially beginners.
Yaani Jamaa na yeye anazile habari kujiunga na group langu la WhatsApp ni 5000Acha longolongo.
Thibitisha Mercury inaathiri mikataba duniani.
Hawa wengine inaonekana kama waganga wa kienyeji wamekuja kivingine tu hapa.Yaani Jamaa na yeye anazile habari kujiunga na group langu la WhatsApp ni 5000
Analeta bla bla tu
Bure inagharimu ndugu. Nishafundisha bure kwa muda wa miezi miwili. nikaona matokeo yake.Yaani Jamaa na yeye anazile habari kujiunga na group langu la WhatsApp ni 5000
Analeta bla bla tu
Hahahahhh...Hawa wengine inaonekana kama waganga wa kienyeji wamekuja kivingine tu hapa.
Wanatumia teknolojia kuongeza soko.
Watu wengi wapo JF na Whatsapp, na wao wanajiweka huku
Ujima mtupu.Hahahahhh...
Kuna wengine wanasema hili tukio la leo la moon eclipse litasababisha majanga makubwa sana hata kupelekea kiama duniani..
Nipo hapa nje nasubiria kwa hamu nione[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahahhh..Ujima mtupu.
Kuna jamaa hapa aliketa zake anasema sayari ya Mercury inaonekana kurudi kinyume sasa (Mercury in retrograde) hilo nibjambo ambalo kiunajimu litasababusha mikataba iende vibaya haoa duniani.
Nikamwambia thibitisha kuna uhusiano hapo.
Hadithi nyingi, kimepanda, kimeshuka, ooh, mi najua sana, we hujui, ooh njoo group la gu la Whatsapp.
Nikaona hapa ndio mwanzo wa kuchajiwa Sh 5,000 ili kuunganishwa group la Whatsapp la mganga wa kienyeji.
Mpaka sasa hajathibitisha.
We acha tu.Hahahahhh..
Itakua hii mikataba ya kipuuzi ya madini huwa tunapigwa sababu ya mercury retrograde
Itabidi jamaa aunganishwe na jiwe atoe msaada ili tusiwe tunasign utumbo kwenye hii mikataba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu vipi kiama kimekuja? Mimi niko mbali nawezakuwa sijakiona.Hahahahhh...
Kuna wengine wanasema hili tukio la leo la moon eclipse litasababisha majanga makubwa sana hata kupelekea kiama duniani..
Nipo hapa nje nasubiria kwa hamu nione[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu vipi kiama kimekuja? Mimi niko mbali nawezakuwa sijakiona.
UPUUZI HUU FANYA KAZI KIJANA ACHA UTAPELIMercury ni ruler wa mambo yote yanayohusu mawasiliano, sasa inapokua ina transit retrograde ina express its energy inwardly more than outwardly.
Ni kama ina pause for some time. Sasa na mambo yote yanayohusu mercury ikiwemo mikataba nayo yanakua katika sluggish state.
That's why tunashauriwa na sisi tuachane na mambo yanayohusu mercury at all ikiwemo mikataba.
Usipoelewa na hapo ntaanza kupata mashaka na wewe.
Wewe una dini.?