Unajipaka mafuta gani mwilini?

Asa mamy kwanini unamimina tui kwenye lailon nyeupe kwan huwezi weka kene lailon ya rangi nyingine mbali na nyeupe?
Swali lako limenichekesha,
Sasa ikiwa mfuko lets say mweusi, utajuaje kama maji yameisha na linakuja tui??

Tunaweka kwenye mfuko mweupe ili kuona dia.
 
Nimekuelewa sana, shukrani sana
 
ni mimi tuu nnaetumia mbuni na baby care?
 
Aaah yale ya madukan me hata siyaamin ndio mana situmii,
Yani tuendelee hivi hivi kutengeneza wenyewe, kitu cha uhakika kama hivyo waweza kuongeza na vitu vingine kuweka nakshi basi akaah burudaaani kabisa.
Si vibaya ukishare nasi namna yanavyotengenezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…