Ketamine
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 824
- 786
hapana ila kuna mdau nilimkuta anatengeneza yaani ni msoft balaa nitaenda kujifunza nitakushtua
Unishtue na mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana ila kuna mdau nilimkuta anatengeneza yaani ni msoft balaa nitaenda kujifunza nitakushtua
Swali lako limenichekesha,Asa mamy kwanini unamimina tui kwenye lailon nyeupe kwan huwezi weka kene lailon ya rangi nyingine mbali na nyeupe?
Nimekuelewa sana, shukrani sanaMachicha ya Nazi pia ni mazuri.
Yanaweza kutumika kama "scrubs" vizuri kusugulia ngozi taratibu na kwa upole wakati wa kuoga.
Hii huwa inatumiwa sana kwa wenzetu wa mikoa ya ukanda wa pwani wanapomtayarisha mwali kabla ya siku ya ndoa.
Ila unaweza kabisa kutumia hiyo "sample" na kuanzisha "brand" yako ya nguvu, bado hujachelewa, if you know what I mean.
Na nilihisi hvy kua utakua unaacha maji .oooh mimi huwa sichuji maji huwa nachemsha tui hvohvo kumbe ndo maana nakaa sana jikoni
asante kwa mbinu mpya
Mbona nimeshaelekeza?Naomba unielekeze jinsi ya kutengeneza hayo mafuta ya nazi
Thanks dear mekuelewaaSwali lako limenichekesha,
Sasa ikiwa mfuko lets say mweusi, utajuaje kama maji yameisha na linakuja tui??
Tunaweka kwenye mfuko mweupe ili kuona dia.
ni mimi tuu nnaetumia mbuni na baby care?Hebu wanaukumbi tushee hii kitu, hebu tuambizane. Je unatumia mafuta gani mwilini/lotion/cream? Unaogea sabuni gani?
Mimi kuanzia natumia lotion ya Ingram, naogea sabuni ya Pearl na mafuta ya nazi niliyotengeneza mwenyewe. Kila Jumapili natengeneza.
Matokeo nipo soft mpaka najitamani.
Wewe je?
NB: Natafuta foundation nzuri sijapata naombeni idea
Garnier ni nzuri sana, ninayo ya Shea butter na fresh gel (kwa ajili ya kusafisha uso)Hii lakini kiminyato sana isihishe.
Ndiyo maana unang'aaaGarnier ni nzuri sana, ninayo ya Shea butter na fresh gel (kwa ajili ya kusafisha uso)
Huyo aliyelala hapo ndo kamaliza kazi? au ndo ulikuwa umefika ukamkuta kajiandaa?HUNIONI AU?
Hahahaha,Ndiyo maana unang'aaa
Bidhaa za kampuni ya image ya Sweden ni nzuri saana, tatizo bei kubwa, mfano sabuni moja ya kuogea ni shs 6,000Natumia bidhaa za Boots. Ni nzuri sana.
Si vibaya ukishare nasi namna yanavyotengenezwaAaah yale ya madukan me hata siyaamin ndio mana situmii,
Yani tuendelee hivi hivi kutengeneza wenyewe, kitu cha uhakika kama hivyo waweza kuongeza na vitu vingine kuweka nakshi basi akaah burudaaani kabisa.
mbona ameshaelezea mkuuSi vibaya ukishsre nasi namna yanavyotengenezwa