Unajipaka mafuta gani mwilini?

Unajipaka mafuta gani mwilini?

Asa mamy kwanini unamimina tui kwenye lailon nyeupe kwan huwezi weka kene lailon ya rangi nyingine mbali na nyeupe?
Swali lako limenichekesha,
Sasa ikiwa mfuko lets say mweusi, utajuaje kama maji yameisha na linakuja tui??

Tunaweka kwenye mfuko mweupe ili kuona dia.
 
Machicha ya Nazi pia ni mazuri.

Yanaweza kutumika kama "scrubs" vizuri kusugulia ngozi taratibu na kwa upole wakati wa kuoga.

Hii huwa inatumiwa sana kwa wenzetu wa mikoa ya ukanda wa pwani wanapomtayarisha mwali kabla ya siku ya ndoa.

Ila unaweza kabisa kutumia hiyo "sample" na kuanzisha "brand" yako ya nguvu, bado hujachelewa, if you know what I mean.
Nimekuelewa sana, shukrani sana
 
Hebu wanaukumbi tushee hii kitu, hebu tuambizane. Je unatumia mafuta gani mwilini/lotion/cream? Unaogea sabuni gani?

Mimi kuanzia natumia lotion ya Ingram, naogea sabuni ya Pearl na mafuta ya nazi niliyotengeneza mwenyewe. Kila Jumapili natengeneza.
Matokeo nipo soft mpaka najitamani.

Wewe je?

NB: Natafuta foundation nzuri sijapata naombeni idea
ni mimi tuu nnaetumia mbuni na baby care?
 
Hii lakini kiminyato sana isihishe.
 

Attachments

  • 1472483059274.jpg
    1472483059274.jpg
    26.3 KB · Views: 220
Aaah yale ya madukan me hata siyaamin ndio mana situmii,
Yani tuendelee hivi hivi kutengeneza wenyewe, kitu cha uhakika kama hivyo waweza kuongeza na vitu vingine kuweka nakshi basi akaah burudaaani kabisa.
Si vibaya ukishare nasi namna yanavyotengenezwa
 
Back
Top Bottom