Unajipaka mafuta gani mwilini?

Unajipaka mafuta gani mwilini?

nasikia mawese mazuri sana nijaribu siku moja
Utaweza kukabiliana na harufu yake maana nasikia mawese ina harufu kali sana sijui labda tuwaulize wenzetu wa west I mean Nigeria Ghana etc sio west kwa USA n.k
 
Aaah yale ya madukan me hata siyaamin ndio mana situmii,
Yani tuendelee hivi hivi kutengeneza wenyewe, kitu cha uhakika kama hivyo waweza kuongeza na vitu vingine kuweka nakshi basi akaah burudaaani kabisa.
ngoja niongeze asali na karafuu week hii
unajua kutengeneza sabuni ya nazi ya kipande?
 
Utaweza kukabiliana na harufu yake maana nasikia mawese ina harufu kali sana sijui labda tuwaulize wenzetu wa west I mean Nigeria Ghana etc sio west kwa USA n.k
siyajui hata mimi sipendi harufu kali lakini
 
cancer ya nini?
Makemiko si safi kupaka mwilini Osha mwili wako vizuri hutonuka.... na wakati mwingine manukato yanakera sana kuyasikia pua huumia... Na demu Mwarabu namkataza lakini Haachi.. yaani full Mafuta body spray,Deodorant Perfume and then anamalizia na udi khah!

Maybe me sipendi Marashi sababu Mwili wangu tu.
 
Makemiko si safi kupaka mwilini Osha mwili wako vizuri hutonuka.... na wakati mwingine manukato yanakera sana kuyasikia pua huumia... Na demu Mwarabu namkataza lakini Haachi.. yaani full Mafuta body spray,Deodorant Perfume and then anamalizia na udi khah!
hatupaki machemical tunapaka manukato na marashi
 
hatupaki machemical tunapaka manukato na marashi
Ile Hatua ya kuyatengeneza ndio huitwa Chemical reaction maana kuna vitu either vitoke visilete madhara zaidi au viongezwe kupunguza athari so unazunguka ila upo pale pale... Marashi hayalimwi lazima yatengenezwe
 
Sabuni yoyote huwa sibagui na mafuta natumia ya mgando au ya nazi
 
Lipo mtaa wa nyamwezi na mkunguni,
Yani hilo jengo lao laangaliana na soko kuu, k,koo.

Foundation niitumiayo ni DREAM MATTE MOUSSE, sina hakika kama wao wanayo. Ila foundation kavu za aina tofauti tofauti utazipata.
Asante mpz
 
Mimi naofea sabuni ya maji ya love nature shower gel hii imetengezwa na alovera na tikiti maji, natumia scrub ya milk and honey hii imetengenezwa kwa maziwa na asali, pia natumia lotion ya happy skin imetengenezwa kwa mbegu za maboga hii ni kwaajili ya ngozi kavu.

Kwa foundation nzuri natumia foundation za the one na very me. Na changanya na poda kiasi ya the one na very me.

Kwa mahitaji ya bidhaa zote hizo nicheki kwa +255 717 343635
 
Duuh! Una "aleji" kama mimi nini?

Me pia natumia sabuni hizo kama nikibadili ni dettol, kinyume na hapo ni majanga.

Mafuta ya nazi (nitangeneza mwenyewe, naweka na karafuu+mdalasini+hiliki)

Unatengeneza mwenyewe, interesting!na isitoshe huo mchanganyiko itabidi nikutafute nitest.mimi aleji sina ila nimegundua nikitumia mafuta na sabuni za mawese mba kichwani hupotea.ila bidhaa zingine mba kichwani kama kawa.
 
Aaah yale ya madukan me hata siyaamin ndio mana situmii,
Yani tuendelee hivi hivi kutengeneza wenyewe, kitu cha uhakika kama hivyo waweza kuongeza na vitu vingine kuweka nakshi basi akaah burudaaani kabisa.
Jaman naomba unielekeze unavoyatengeneza please!
 
Back
Top Bottom