Unajipaka mafuta gani mwilini?

Unajipaka mafuta gani mwilini?

mchai chai unatoaje mafuta mkuu? majani au ?
KUNA NJIA 2 ZA.KUTENGENEZA MAFUTA YA MCHAICHAI
1. HII NI RAHISI SANA
-CHUKUA MAFUTA YOYOTE KATI YA HAYA:- NAZI;ALMOND, OLIVE, BLACKSEED WEKA KATIKA CHOMBO AU CHUPA YA.KIOO MGANO GLASS TUMBUKIZA MCHAICHAI WAKO FUNNIKA CHUPA HIYO KWA MASAA 24 BAADA YA MUDA HUO MAFUTA YAKO TAYARI KUTUMIA.(HAYA YATAITWA LEMON GRASS INFUSSION OIL AU LEMONGRASS ESSENTIAL OIL)

2.NJIA YA PILI
NI NGUMU UNACHEMSHA MCHAICHAI KAMA AMBAVYO HUPIKWA KILEVI CHA GONGO KISHA ULE MVUKE NDO HUWA MAFUTA NAHUITWA(ORGANIC LEMONGRASS OIL) NI MAZURI MNO
 
Rinju. Ina harufu nzuri sana naipenda
Siku nikiishiwa perfume inanisevu pia
 
Vaseline healthy white UV lightening thats my favourate lotion everrrr
Sabuni natumia moroccan whitening soap
 
Back
Top Bottom