Unajisifu umeoa huku unafanya uzinzi sasa ndiyo nini?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kuna hili kundi la watu wanadai wameoa wengine wameolewa, lakini wako na michipuko kibao, Uzinzi kibao, sasa mmeoa nini?

Ni vituko tu huko doani kila Mtu anajaribu kuonesha uchafu wake. Watu wamechoka hatari, wamepoteza Nuru.

Ni watu wachache ndo wana-Enjoy Ndoa, wengi wao uchafu na kuleteana Umeme.
 
Sema umeongea poa basi TU labda wasisikie unakuta mwanamke na mwanaume wanashindana kupiga nje ni hakuna kukataa dah!
 
Hata mimi Sielewi kwetu ndoa ni kwa ajili ya kuepuka zinaa sasa mtu unaoa then unaendelea kuzini si bora usioe tu, baadae unalalamika una mikosi na mabalaa.
 
Una pwenti hapa mwanangu.
 
Kama nawaona wanavokutizama kwa hasira...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…