Unajisifu umeoa huku unafanya uzinzi sasa ndiyo nini?

Unajisifu umeoa huku unafanya uzinzi sasa ndiyo nini?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kuna hili kundi la watu wanadai wameoa wengine wameolewa, lakini wako na michipuko kibao, Uzinzi kibao, sasa mmeoa nini?

Ni vituko tu huko doani kila Mtu anajaribu kuonesha uchafu wake. Watu wamechoka hatari, wamepoteza Nuru.

Ni watu wachache ndo wana-Enjoy Ndoa, wengi wao uchafu na kuleteana Umeme.
 
Sema umeongea poa basi TU labda wasisikie unakuta mwanamke na mwanaume wanashindana kupiga nje ni hakuna kukataa dah!
 
Kuna hili kundi la watu wanadai wame-oa wengine wameolewa , lakini wako na michipuko kibao Uzinzi , kibao , sasa mmeoa Nini ??

Ni vituko tu huko Ndoani kila Mtu anajaribu kuonesha uchafu wake .

Watu wamechoka hatari wamepoteza Nuru

Ni watu wachache ndo wana-Enjoy Ndoa wengi wao uchafu na kuleteana Umeme
Hata mimi Sielewi kwetu ndoa ni kwa ajili ya kuepuka zinaa sasa mtu unaoa then unaendelea kuzini si bora usioe tu, baadae unalalamika una mikosi na mabalaa.
 
Kuna hili kundi la watu wanadai wame-oa wengine wameolewa , lakini wako na michipuko kibao Uzinzi , kibao , sasa mmeoa Nini ??

Ni vituko tu huko Ndoani kila Mtu anajaribu kuonesha uchafu wake .

Watu wamechoka hatari wamepoteza Nuru

Ni watu wachache ndo wana-Enjoy Ndoa wengi wao uchafu na kuleteana Umeme
Una pwenti hapa mwanangu.
 
Kuna hili kundi la watu wanadai wame-oa wengine wameolewa , lakini wako na michipuko kibao Uzinzi , kibao , sasa mmeoa Nini?

Ni vituko tu huko Ndoani kila Mtu anajaribu kuonesha uchafu wake. Watu wamechoka hatari wamepoteza Nuru

Ni watu wachache ndo wana-Enjoy Ndoa wengi wao uchafu na kuleteana Umeme
Kama nawaona wanavokutizama kwa hasira...
 
Back
Top Bottom