Unajisikiaje kuona Mpangaji mwenzio akiingiza wanawake kila mara?

Unajisikiaje kuona Mpangaji mwenzio akiingiza wanawake kila mara?

Napishana na wewe kidogo.
Mambo kama hayo uswahilini sidhani kama yako sana kwakua kuna macho mengi. Ila ukipanga maeneo ya binafsi sana ndiko kunatokea hayo,niliwahi kupanga nyumba mkoa fulani miaka ya nyuma kidogo,jirani yangu alikuwa analeta wanawake watatu mpk wanne kwa siku.
Ila nadhani sababu ya uhuru tuliokuwa nao so haikuwa shida kwake kufanya hayo,nadhani pangekuwa na wakaaji wengi lazima kuna kale kaaibu na Maneno ya watu lazima angejiheshimu.
Umenikumbusha niliwahi kukaa nyumba moja na bro mmoja tukisoma vyuo tofauti. Asubuhi anaweza kusindikiza demu aliyemla usiku baada ya saa anarudi na kitu kingine
 
Kipindi niko chuo kuna dogo alikuwa anawabandua afu sauti tunasikia nje aisee ilikuwa ni tafrani sana alafu alikuwa anaona sifa muhaya yule
 
We jamaa acha nongwa,gani mtu apange geto alipe kodi bado mademu zake awapeleke wapi kama sio getoni,huwezi hama,tumekutana mjini kila mtu na maisha yake.
 
UKIONA ANAENDELEA NA TABIA HIYO.

kwa mara ya pili,vizia kaleta mwanamke jitokeze mbele yao akiwa yeye na huyu mwanamke mazungumzo yako yawe haya.....

Halo, nilitaka kuongea nanyi nyote wawili kuhusu jambo ambalo limekuwa likinisumbua. Nimekuwa nikihisi kutoridhika mara kwa mara nawewe fulani(jina lake)kwa kuwa na wanawake tofauti tofauti kila kujicha. Yani tangu umepata haya maradhi umekuwa kila siku unaleta wanawake ndani kwako,,,,kwanini?unataka kuangamiza watoto wa watu ona sasa asubuhi ulikuwa na Amina mchana Mwanaidi jioni hii umeleta na huyu tena.nafsi inanisuta lazima nikwambie ukweli mdogo wangu kifo kinakuita na nitapiga simu nyumbani.

Ukimaliza sema hayo ingia ndani.usisubili ajibu.akifanikiwa kumuingza ndani huyo manzi niite makonda niko hapa nakungoja💯💯
Wakati huo yeye yupo anakuangalia tu?
 
nyie ndio wakuda mtu amechagua maisha anayoyataka wewe kwanini umuingile nilikuwa nakaa na koplo wa JWTZ kila siku anakuja na VX jipya nikawa I don't care
 
Kuna mkaka hapa jirani nampenda. Ila anavyoingiza wanawake ndani kwake naskia wivu, moyo unauma jamani
 
Back
Top Bottom