Unajisikiaje kuona Mpangaji mwenzio akiingiza wanawake kila mara?

Umenikumbusha niliwahi kukaa nyumba moja na bro mmoja tukisoma vyuo tofauti. Asubuhi anaweza kusindikiza demu aliyemla usiku baada ya saa anarudi na kitu kingine
 
Kipindi niko chuo kuna dogo alikuwa anawabandua afu sauti tunasikia nje aisee ilikuwa ni tafrani sana alafu alikuwa anaona sifa muhaya yule
 
We jamaa acha nongwa,gani mtu apange geto alipe kodi bado mademu zake awapeleke wapi kama sio getoni,huwezi hama,tumekutana mjini kila mtu na maisha yake.
 
Wakati huo yeye yupo anakuangalia tu?
 
nyie ndio wakuda mtu amechagua maisha anayoyataka wewe kwanini umuingile nilikuwa nakaa na koplo wa JWTZ kila siku anakuja na VX jipya nikawa I don't care
 
Kuna mkaka hapa jirani nampenda. Ila anavyoingiza wanawake ndani kwake naskia wivu, moyo unauma jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…