Unajisikiaje kuona ndugu yako wa damu anayehudumia familia yenu ni mmoja wa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya akina Mbowe?

Unajisikiaje kuona ndugu yako wa damu anayehudumia familia yenu ni mmoja wa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya akina Mbowe?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Baba Yako au ndugu Yako unapomuona akiwa upande wa mashihidi kesi ya akina Mbowe unajisikiaje? Unajisikia furaha kwamba ukoo wenu umezaa shujaa ukamsomesha na kumwombea Kwa Mungu apate na Sasa anafanya kazi mliyotamani awe anaifanya?

Unaposikia ndugu Yako akitajwa KWENYE jopo la mawakili wa Serikali au unapoona jamaa yako anatajwa kwenye jopo la mawakili wa serikali unajiona group Lenu la WhatsApp au familia yenu imepata mtu wakutrend kwenye mitandao na hivyo jina la familia linakua au unajitathmini vipi moyoni.

Unaposikia ndugu yenu ni akimu au Judge anayesimamia kesi hii au amewahi kusimamia kesi hii unajisikiaje moyoni? Unajihisi kushangalia kwamba familia imetoa mwakilishi anayesimamia haki nchini na ambaye watoto wako wakikua watapata heshima kutokana na jina lake kama familia ya Mwalimu Nyerere inapotembelea nyota ya baba na Babu Yao? Do you feel like reserving blessing from the job your relative is doing to people of this land?

Wewe ni mtoto au Mzazi wa wapelelezi wa kesi hii na umesikia mwanao au Mzazi wako au clasmate wako akitajwa kufanyia kazi ya upelelezi katika kesi hii, how proud are for the moment?

Wewe ni kiongozi wa kiroho wa mashahidi, mawakili, majaji na Mahakimu waliowahi kushiriki kesi hii na watu hawa wanafika kwenye nyumba Yako ya Ibada, je ukiambiwa watambulishe kama waumini wako unawiwa kuifanya hivyo kwamba they have done remarkable job? How do you feel unapobaini kwamba mmoja wa wahudika upande wa Jamhuri anasali au anaswali kwenye eneo lako la kiutawala kiroho?

Wewe nikiongozi wa sekta, au taasisi ambayo wanatoka mashahidi na watendaji wanaotoa ushahidi au kusaidia mahakama Kwa upande wa Jamhuri; unabarikiwa na kazi wanayofanya watendaji wako? Are you sending blessing to your family?

Mwisho; Kwa ambao sijawataja hapo juu naomba kuuliza kinachoendelea mahakamani kinakubariki Kwa kiasi Gani kiimani? Unaweza kusimama ukamtukuza Mungu huku ukiwaombea washiriki wa upande wa Jamhuri waendelee kuwafanyia haya mazuri wanayofanya kwa Watanzania wengine? Nafsi yako inaliona tukio ili kwa mrengo Gani?

Next timu tutajihoji Kwa upande wa utetezi. Leo tujihoji Kwa upande wa Jamhuri nakuona kama Taifa linahitaji ongezeko la watoa huduma wa aina ya Hawa ndugu zetu wa Jamhuri au tunayokazi yakufanya kiimani kubadili ugumu wa miyoyo
 
Kila mtu atetee nafsi yake mzee. Hakuna namna inapofika suala la kulisha tumbo hata kama hauamini unayoyatenda. Matendo na imani ni vitu viwili tofauti lakini pia unahitaji vyote viwili ili kukamilisha uovu. Actus non facit reum ni si mens rea (action alone doesn't constitute a crime unless it is manifested by evil mind.)
 
Whats your point stupid?
Who is Mbowe anyway.
Ofcoz I'm stupidy because I'm reasoning on behalf of your family.

You may find MBOWE as rubbish on your heart and believe your parents are most important than others parents. That you family deserves better than others but living God will never live your wishes.
 
Una mawazo ya kitoto sana kwenye maandiko yako. Uzalendo kwako ni zero. Wewe ni mtu hatari sana kwa nchi yetu.
 
Who is mbowe , he nchi ishalost watu wengi wa msingi kuliko huyo mbowe , kama ana kesi ya kujibu awajibike ipasavyo , kama Hana kesi atapata haki yake, sio kuleta nonsense thread humu, what the fuvk
 
Ole wao waipindishao sheria magufuli alikufa kwasababu ya kuchezea madhabahu ya mungu kila jpili. Leo anaiba kura kesho anajiita malaika; what a blasfemy.
 
Hii staili mpya ya uandishi. Who is wewe?
 
Tumbo mponza tako!!
Kila mtu atetee nafsi yake mzee. Hakuna namna inapofika suala la kulisha tumbo hata kama hauamini unayoyatenda. Matendo na imani ni vitu viwili tofauti lakini pia unahitaji vyote viwili ili kukamilisha uovu. Actus non facit reum ni si mens rea (action alone doesn't constitute a crime unless it is manifested by evil mind.)
 
ni hivyo hivyo ukiwa na ndugu Mwizi, Fisadi, Malaya, Jambazi, mla rushwa nk....
 
"Actus non facit reum ni si mens rea (action alone doesn't constitute a crime unless it is manifested by evil mind.)"
 
Back
Top Bottom