Nafikiri watu wangeacha kutafuta huruma kwa jamii kwa kuandika maandiko kama haya badala yake wafocus na kutuonyesha shida iko wapi kutokana na ushahidi unaoendelea.
Kuna uzi mmoja jamaa amehoji kukutanankwa Urio, DCI na Kingai asubuhi huku Urio simu alipiga usiku na Kingai ni wa Arusha na kosa limetendwa DSM. Amehoji kufika Kingai mapema na yeye kukabidhiwa kosa la DSM ikiwa siyo kikosi maalum.
Interesting thread.
Hizi za kuomba huruma kwa kutaka watu wafeel guilty hazitafanya kazi.