Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Huku wanaponda ila kutwaaa wanawasifia hukooo!

Wanaume kwa unafiki huo mbinguni hamuendiii
Umeonaeee. Kwa kweli hatutaki hizo mambo wazichukie tu mpaka huko.

Na hasa kwenye huu uzi wote wanaosema kinyume hawaendi mbinguni. πŸ˜…πŸ˜…
 
Umeonaeee. Kwa kweli hatutaki hizo mambo wazichukie tu mpaka huko.

Na hasa kwenye huu uzi wote wanaosema kinyume hawaendi mbinguni. [emoji28][emoji28]
Hahaha hahaha hahaha
Hawaendi mbinguni kabisaaa!
 
Umesahau kale kagodoro kwenye makalio
 
Sasa hivi pia wana makalio na chuchu bandia.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli unaweza kabisa comfortably ukawa na mwanamke aliyevaa wigi jamani?

Shame on you guys.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Punde umenichekesha sana, hasa pale ulipotia, shame on you guys. Binafsi mimi haiwezekani hata kwa dawa. Na kwa ufupi tu hata mtoto wangu aliye chini ya miliki yangu habari ya wigi siitaki kabisa. ataweka akijitegemea huko siyo kwangu.
 
Ila chakushangaza ukivaa wigi utasifiwa sana umependeza.....Tanzania.
Anayekusifia hivyo either atakuwa mwanamke mwenzio wa designe yako au wanaume wenye kupenda kurukaruka kwa kila mwanamke anayemjia usoni mwake. kwa sababu anajua akikutaka hawezi kushindwa sababu hujiheshimu unatafuta wanaume.
 
Kunywa Pepsi nitalipa

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
 
Kama Flavian Matata
Namkubali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe kuna wigi orijino?

Sent using Jamii Forums mobile app
Original ni nywele za binadamu ambazo nyingi zinatoka Brazil na India
Yaani unauza nywele zako kama ni ndefu kwa makampuni nao huziuza mpaka $3000
Huko Brazil wasichana walikuwa wanatekwa na watu na kunyolewa kwa nguvu na kwenda kuziuza
Sasa wengi wameamua kuzikata kabisa na kubakiza kidogo au nao kuvaa wigi rahisi tu.
Zipo wigs hizi sasa ambazo ni changanyikeni hizo za bei rahisi ambazo zinatengenezwa kutokana na manyoa ya mbuzi
Zina masharti nazo hakikisha mvua isikukute njiani utanuka kama beberu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pony tails are my favourite! Kama inashindikana bora ufanye cut tu uwe kama Chindma wa Perfect combo yule! Very sleek and natural looking! Strictly no make ups!
 
Wanaume wamejaa unafiki sana, hasa kama kuna kitu wanataka. Watakusifu sana kuwa wigi lako linekupendezesha, kumbe tu wanatamani maungo yako...
Sasa utaingia jimboni au ikulu bila kampeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…