Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Nieleweshe please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nieleweshe please
Kama una date na mvaa mawigi na unawasifia baby you look good hlf hapa unawaponda utakuwa mnafiki ujueMpaka mimi mnafiki???😀😀😀😀
Wanaume wakiwa huku wanakua wanafki sana.Karibia vidume vyote hapa vimeponda wavaa mawigi, ninachojiuliza ni nani anadate nao huku mtaani? [emoji2][emoji2] Acheni unafiki nyie viumbe
Ha haaa jf Ina vituko sanaWanaume wakiwa huku wanakua wanafki sana.
Hao wanaotupaga hela za kucha na nywele sijuii wanatokea sayari gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu ninyamaze kwanzaKama una date na mvaa mawigi na unawasifia baby you look good hlf hapa unawaponda utakuwa mnafiki ujue
Teh.. BoraHebu ninyamaze kwanza
Nakazia mkuu bongo yetu joto hewa ya mwili muhimu.Hapo kwenye kuacha mapaja wazi sio pabaya. Mie napapenda
Kipo dada, tena hiki usiombe akipate mwanao
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kipo dada, tena hiki usiombe akipate mwanao
Unaweza ukawa unampiga kila saa, ukidhani anavuruga nywele kusudi
Natural beauty mkuje hapaWamekua brainwashed kwamba wanawake wenye nywele refu na laini ndio wazuri na wao wenye nywele ngumu za kipipili sio wazuri, mwanamke anapaswa kujiamini na kujikubali jinsi Mungu alivomuumba, kama mzuri ni mzuri tu, unaweza vaa wigi original la laki 5 na bado usivutie.
Akhsante umenisaidia kucheka[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kile cha utotoni nakubali .....hatari kileAkhsante umenisaidia kucheka[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto anakua km Ana nzi kichwani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipilipili ni kizuri ukifuga kikikua ukachana ukabana yaani utapenda mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app