Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Hapana siyo huyo niliyemzungumzia mimi, bila shaka alipataga Miss TZ 2006 na Miss world aliipata 2006 hiyo hiyo afu aliolewa mwaka uliofata.

Alikuwa ni Mzuri wa asili asiyetumia chochote feki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Okay kumbe unamzungumzia mke wa aliyekuwa waziri wa wizara fulani. Mi nazungumzia yule dada wa kiganda aliyeshinda miss Africa last year
 
Ndiyomaana husumbuliwa sana na mapepo, dunia hii imeficha mambo mengi sana sirini ni Mungu tu atusaidie kwakweli.

Kuna Dada m1 kwenye nyuzi za dini alieleza kuwa kuna perfume flani hv alitengeneza Msanii mahiri sana wa hapa TZ, akizichimba kiundani zaidi kuwa alizihusisha uwepo wa ufanisi wa kifreemasons lkn ule uzi ulifutwa baada ya dkk 5 tu na aliyeufungua alikula ban 1 kwa 1.
Duh kumbe.. Sikujua kuhusu hilo.

Duh. Mungu atunusuru na hayo mabalaa
 
😀😀😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unakauzoefu nao eeeh
Sana. Siwezi kuacha Chura kisa wig...
 
Nimepita uzi woote sijaona picha ya nywele asilia ambayo haijanyooshwa au iliyotiwa relaxer.

Iko hivi,ukikutana na kigagula njiani nywele zake ziko kama hizo picha hapo chini,basi ujue huyo ndo Kasie Matata.

21_chic_and_easy_updo_hairstyles_for_natural_hair_6.jpg

images.jpeg
 
Wigi ni ishara ya kuto kujikubali, kuto kujiamini na ina maana ya kuchukia asili yako.

Kosea umkute aliyekurupuka, utadhani amevaa fungu la mchicha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom