Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Usinichoshe we Baba.. Yote nilioyaandika hapo hujayaelewa au ndo kukurupuka? huyo aliniQuote kwamba nywele refu na laini ndo nzuri ila nywele za kipilipili sio nzuri ndo nikamjibu kila mwanamke ana uzuri wake aliojaaliwa na Mungu, wengine nywele, macho, shepu, miguu, etc na mwisho nikamwambia hata hao wazungu wenye nywele laini wanapenda nywele za kusuka kwa mkono ambazo waafrika wengi ndo wasukaji wakuu, sasa nakushangaa ww BABA umedandia comment yangu kwamba waafrika wanaosuka wapo kwani wapi nimesema waafrika hawasuki? UNIKOME.


khaaa shost ..mbona ulikua unakuja vzr tu na daby
 
Wamekua brainwashed kwamba wanawake wenye nywele refu na laini ndio wazuri na wao wenye nywele ngumu za kipipili sio wazuri, mwanamke anapaswa kujiamini na kujikubali jinsi Mungu alivomuumba, kama mzuri ni mzuri tu, unaweza vaa wigi original la laki 5 na bado usivutie.
Kumbe kuna wigi orijino?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie wanaume nanyi hamsomeki
Mbona mm sivai wigi nna nywele zangu natural sibandiki kucha. Siachi mapaja wazi, etc lakini hamna hata wa kunishobokea mitaani wote mnabanana kwa wavaa mawigi [emoji29][emoji856] au ndo tatizo nyota

Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes tukiwashobokea mnataka tuwashobokee sanaaaa ndio nuelewe kama tumewashobokea. Tuko tofauti kidogo, wengine tunashoboka kidogo tu na ukiwa hujaelewa mshoboko wetu unataka tushoboke sana tunaona kama mnatichosha.

Mimi kiukweli haya mambo artificial siyapendi haswa na naweka hisia zangu wazi
 
Mi nimeangalia mwonekano wa kukosa tu wigi nika-comment haraka haraka bila ya kujua kuwa amepaka lipstick mdomoni, maana nilikuwa nashambuliwa kama vile mwizi wa simu anavyofukuzwa[emoji28]
Si umesema hutaki wapaka lipstick.... Sasa mbona unamsifia huyo anayependa mwenye lipstick,eleweka msimamo wako...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nanunkuu Mzee Baba mmoja kaiweka hapo juu hivi "wigi lililomficha hata shetani kwa kweli hapana"[emoji56][emoji41][emoji28][emoji4][emoji1][emoji5][emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu alisema kakutana na dada kavaa wigi, yule dada kugeuka pembeni wigi bado linaangalia mbele
 
Back
Top Bottom