Minah
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 840
- 2,343
Unadhani sio kweli? Ukiwa na nywele ndefu na laini ni nzuri. Kipilipili sio kizuri.
binafsi naamini kwamba hakuna mwanamke mbaya, kila mwanamke ana uzuri wake Unique aliojaaliwa na Mungu. Kuna ambao wamejaaliwa nywele nzuri lakini shepu kama Kabati, kuna ambao wamejaaliwa macho mazuri akikutizama akili ishakuruka😜kuna wenye Dimples, Lips nzuri, pua nzuri, nyusi nzuri, miguu mizuri, Shepu namba 8, kuna ambao uzuri wao ni rangi zao za ngozi, etc Mungu hakupi vyote na Mungu hakunyimi vyote. kwahio ni kheri umsifie mkeo kwa yale aliojaaliwa na kuboost confidence yake kwamba yy ni mZuri. kuliko kumkosoa kwa ambacho hajajaaliwa na kumfanya akose kujiamini. Mbona wazungu wanapenda vipilipili, wanavutiwa na usukaji wa nywele za mkono, etc