Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Wewe tukimchukua hadija wako wa shamba na mtoto mzuri aliyejiremba wa mjini Dasalama kwa piere unadhani utamchagua nani ? Halafu unatuambia waache kujiremba?Tusamehe bure kwa kukuharibia hisia zako kwa shemeji yetu na biashara zako za kuuzia mabinti wasiojitambua vitu feki[emoji87][emoji86][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho mtawaambia waache kujiliza vitandani nyie maana hamchelewi.