Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Hahaha.

Mzee baba.... wewe unataka wanawake wawe unavyotaka?

Mwanamke akijiremba anavutia...kama hautaki wanaojiremba si ichukue asiyejiremba?
Ni mbwebwe tu huwa hamjielewi Wanaume aina zenu, mfano wale house girs ni wangapi hawana muda wa kuvaa hayo mawigi, huwa hamuwatongozi hadi kusaliti ndoa na wengine kuwa wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ambacho sipenď binafsi kbs kope za bandia..kucha zle ndef nazo sipend..nabandika lakini inakatwa inakuwa km yako tu..napo nafanya mara moja moja..

Ila kope nitabandika sku 1 am sure zitapendeza...jaman mambo mengine mtuache tufanyajge tu...we only liv once
Kuna zinaowapendezesha wengine haziwapendezeshi.

Wala hawaaamulii endeleeni kujiremba kikubwa usijirembe hadi ukajilemaza tu.
 
😂😂😂
Avatar yako kiukweli inaniacha hoi nikiweka masihara pembeni. Ni matata sana.

Kama avatar yako inakuakisi wewe, mashaallah! Mungu akulinde. Ili unusurike labda ujenge urafiki na mimi.🙂🙂🙂🙂
 
Mwambie shemeji yangu ajiamini maana Bibi na Mama zake hawakuhangaika na huo upumbavu wa vitu feki lkn walitongozwa na kuolewa na kudumu hata ktk ndoa.
Ni nani asiyejiremba hapa duniani? Wewe mwenyewe unachonga nywele na kuvaa mavazi unayodhani yanakuvutia ili tu upendeze.

Wenzio wakienda mbali kwa kuvaa wig unaona nongwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mbwebwe tu huwa hamjielewi Wanaume aina zenu, mfano wale house girs ni wangapi hawana muda wa kuvaa hayo mawigi, huwa hamuwatongozi hadi kusaliti ndoa na wengine kuwa wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hata hatuelewani.

Mahouse girl wanatokea wapi hapa mzee?

Pointi yangu ni rahisi tu wanawake waacheni wajirembe maana ndiyo asili yao.

Wewe unashindwa kuelewa unachotaka. Kiuhalisia hakuna binadamu asiyejiremba hapa duniani tunatofautiana viwango tu.

Sasa wewe kama hupendi mwanamke anayejiremba kwa namna unayotaka si uchukue wa namna nyingine shekh?
 
We Mama usizidishe huo ukweli ukasababisha Ke wenzio wakaanza kukuchukia na Wanaume wakajazana pm kukusumbua[emoji28]
Halagu hayo madude ya kuongeza yanawazeesha jamani..unavaa wigi unaonekana mzee maskini kumbe bado mbichi kabisa au hizo makeup zinazeesha ngoziiii...unajua kupaka mara moja moja sio mbaya kwenye special occasion .lakini kuna yule.anapaka 24/7 mpaka ngozi imekua kama sijui kitu gani...wanatia kinyaa jamani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaahaa...hii naisikia leo...ila mbona wanakiwa smart sana jaman
Vaa wigi halafu jipige picha then vua halafu jipige picha ukiwa na nywele zako zilizosukwa vizuri halafu linganisha hizo picha mbili uone, ile ya wigi utakua unaonekana mzee kuliko hii ambayo hujavaa wigi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hata hatuelewani.

Mahouse girl wanatokea wapi hapa mzee?

Pointi yangu ni rahisi tu wanawake waacheni wajirembe maana ndiyo asili yao.

Wewe unashindwa kuelewa unachotaka. Kiuhalisia hakuna binadamu asiyejiremba hapa duniani tunatofautiana viwango tu.

Sasa wewe kama hupendi mwanamke anayejiremba kwa namna unayotaka si uchukue wa namna nyingine shekh?

😂😂😂😂achana naye ..umeeleweka..ni km sis tusivyopenda milegezo yenu so akitokwa mwenye mlegzo unamkataa tu..easy like abc
 
Sikushauri kabisa Dada yangu na hata km ni mwenye mali ndiye anayekudanganya basi jikite ktk msimamo wako maana husababisha kansa za macho.
Mimi ambacho sipenď binafsi kbs kope za bandia..kucha zle ndef nazo sipend..nabandika lakini inakatwa inakuwa km yako tu..napo nafanya mara moja moja..

Ila kope nitabandika sku 1 am sure zitapendeza...jaman mambo mengine mtuache tufanyajge tu...we only liv once

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halagu hayo madude ya kuongeza yanawazeesha jamani..unavaa wigi unaonekana mzee maskini kumbe bado mbichi kabisa au hizo makeup zinazeesha ngoziiii...unajua kupaka mara moja moja sio mbaya kwenye special occasion .lakini kuna yule.anapaka 24/7 mpaka ngozi imekua kama sijui kitu gani...wanatia kinyaa jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
yes..makeup ukizid daily inazeesha ngozi..kwa wigs sijajua kwakwel...
 
Back
Top Bottom