Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Kumbe kuna wigi orijino?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio Mkuu 😂😂 kuna Original na fake. Yaani wigi Original ni nywele halisi za binadamu naskia kuna baadhi ya wahindi huwa wanafanya hio Biashara wanafuga nywele then wanazikata nywele zao na kuziuza kwa makampuni ya nywele, huko zinafangwa wigi na weaving kisha kuuzwa bei ghali zaidi kwa wavaagi.
 
Ha ha ha ha ha ha!!
We wanijua vizuri kabisaaa! Hayo mandude sivaiii...

Ila naona kutwaaa wanasifiwa haoo wanaovaa mkija huku mwawasema !!
Basi wapotezee tu hao Mama maana wakati mwingine ni vichwa vyao vya chini ndivyo huwachanganya kitamaa lkn si kiupendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaambiaga sana dada zangu kuwa mambo wanafanya wakidhani wanapendeza machoni kwa wanaume kumbe ndo wanatuchukiza mno
1.Kuvaa mawigi
2.Kucha bandia
3.Kope bandia
4.kujichubua
5.LIPSTICK
6.KUACHA MAPAJA WAZI

hivi vitu huwa vinanikera mno, sijui ni nani aliyewaambia wakiwa wasafi tu wa kawaida hawatongozwi
yaani hata marashi tu mtu anajipulizia utadhani anajiandaa kuzikwa ukikaa mita nne toka alipo tayari ushapata kipanda uso, warembo wa hivyo nakaa nao mbali kabisa
Kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau miongoni mwa hayo orijino pia yapo yaliyochanganyika na za marehemu.
Ndio Mkuu [emoji23][emoji23] kuna Original na fake. Yaani wigi Original ni nywele halisi za binadamu naskia kuna baadhi ya wahindi huwa wanafanya hio Biashara wanafuga nywele then wanazikata nywele zao na kuziuza kwa makampuni ya nywele, huko zinafangwa wigi na weaving kisha kuuzwa bei ghali zaidi kwa wavaagi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom