Kutakuwa hamna balance, sharti zote ziwe standardized. Natural ziwe na mafuta au dawa ili kuendana na enhancenent ya wigi!iwekww hapa picha ya dada kavaa wig lake zuri alafu iweke picha ya dada mwenye natural yake..haijatiwa dash dash yyt..tuone nan yupo smart🎶.
ila ziwe za kibongo..msituwekee watutsi
Yani mi yale mawigi mafupi wenyewe wanaziita helmenti. Sio siri nikimuona mtoto wa kike kavaa napatwa na hisia za bar maid kabisa!Niliwahi kuvutiwa na demu kisa wigi yale mafupi lilimkaa fresh yaani alinivutia sana
Sasa siku nikakutana nae hajalivaa nikaanza kujiuliza ndio yule au mwingiene
Kiukweli wanawake wavaa mawigi mnatutapeli sana mnatuuzia cheni bandia hahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Pony tails are my favourite! Kama inashindikana bora ufanye cut tu uwe kama Chindma wa Perfect combo yule! Very sleek and natural looking! Strictly no make ups!
Mlipo tupoo...tukitoka huko tunaingia kwenye vyupi,Mmehamia na huku tena
Ukiona mwanamke kavaa wigi anajipigapiga kichwani ujue linamuwasha na ndio anajikuna kiaina
Aiseeee nyundo kbsa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ujue network imekata
Akizidi kujipigapiga unampa nyundo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni jamani tunatania tuNmecheka Hadi najihisi kuzimia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeee nyundo kbsa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu anawaona nyie wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂 we jamaa ni fwalaWanawake ni watu wa urembo...mwanamke anaweza kubadili gauni kisa chupi ndani haiendani nalo.
Mnataka wawe kama sisi? Wajirembe mawigi acha wavae kizuri tu yawe yanawapendeza.
Mbavu zangu Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe wape $ feki hahahaNiliwahi kuvutiwa na demu kisa wigi yale mafupi lilimkaa fresh yaani alinivutia sana
Sasa siku nikakutana nae hajalivaa nikaanza kujiuliza ndio yule au mwingiene
Kiukweli wanawake wavaa mawigi mnatutapeli sana mnatuuzia cheni bandia hahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta wigi kubwa kama kabeba mzigo wa nyasi halafu linanuka hatari.Nawaambiaga sana dada zangu kuwa mambo wanafanya wakidhani wanapendeza machoni kwa wanaume kumbe ndo wanatuchukiza mno
1.Kuvaa mawigi
2.Kucha bandia
3.Kope bandia
4.kujichubua
5.LIPSTICK
6.KUACHA MAPAJA WAZI
hivi vitu huwa vinanikera mno, sijui ni nani aliyewaambia wakiwa wasafi tu wa kawaida hawatongozwi
yaani hata marashi tu mtu anajipulizia utadhani anajiandaa kuzikwa ukikaa mita nne toka alipo tayari ushapata kipanda uso, warembo wa hivyo nakaa nao mbali kabisa
Original ni nywele za binadamu ambazo nyingi zinatoka Brazil na India
Yaani unauza nywele zako kama ni ndefu kwa makampuni nao huziuza mpaka $3000
Huko Brazil wasichana walikuwa wanatekwa na watu na kunyolewa kwa nguvu na kwenda kuziuza
Sasa wengi wameamua kuzikata kabisa na kubakiza kidogo au nao kuvaa wigi rahisi tu.
Zipo wigs hizi sasa ambazo ni changanyikeni hizo za bei rahisi ambazo zinatengenezwa kutokana na manyoa ya mbuzi
Zina masharti nazo hakikisha mvua isikukute njiani utanuka kama beberu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachonifurahisha humu ni kwamba umeconfirm hauvai wigyaan ww kuandika humu ndo imfanye mtu asivae wig[emoji23][emoji23][emoji23]..kisa ni nn hasa
urembo huo umenishinda nimegawa...ila mwanamke yyt anayeenda na wakat wig ni must have ..nitatafta hta ma2 kakake[emoji4]..mara moja moja jamen khaa
Wanisamehe na jicho lao kwa kweli ila msema kweli mpenzi wa MunguNimesoma kote Ila nilipofika aya ya mwisho nikajikuta nacheka. Kwamba vigezo na Masharti kuzingatiwa mvuani [emoji23][emoji23][emoji23]
Sikuelewa niki wa pili alikua anasema Brazilian/ Indian hairs kumbe ndo haya maOG wigis
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa Pepsi nitalipa
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Sasa boss kazi kwani mahitaji muhimu ya binadamu si yanafahamika au kumeongezeka na "WIGI"Ni nani asiyejiremba hapa duniani? Wewe mwenyewe unachonga nywele na kuvaa mavazi unayodhani yanakuvutia ili tu upendeze.
Wenzio wakienda mbali kwa kuvaa wig unaona nongwa?
Original ni nywele za binadamu ambazo nyingi zinatoka Brazil na India
Yaani unauza nywele zako kama ni ndefu kwa makampuni nao huziuza mpaka $3000
Huko Brazil wasichana walikuwa wanatekwa na watu na kunyolewa kwa nguvu na kwenda kuziuza
Sasa wengi wameamua kuzikata kabisa na kubakiza kidogo au nao kuvaa wigi rahisi tu.
Zipo wigs hizi sasa ambazo ni changanyikeni hizo za bei rahisi ambazo zinatengenezwa kutokana na manyoa ya mbuzi
Zina masharti nazo hakikisha mvua isikukute njiani utanuka kama beberu
Sent using Jamii Forums mobile app
Daby unafanya biashara ya mawigi ?Kuwa mpole...acheni watu wapendeze.