Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'


Hapo kwenye kipanda uso ndouniacha hoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna demu mwingine zile purukushani za hapa na pale geto wigi lake si lilianguka? eee bn weee...nywele zilikuwa zimenyonyoka hadi ghafla u*me ulisinyaa pale pale, nilisitisha kabisa hata sikumduu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia nachukia kuvaa wigi kwanza linachosha halafu na joto hili la dar nahisi linanifanya naonekana kituko

Wanawake wakiwa natural au wakisuka nywele ambazo zinaonyesha uhalisia wao huwa wanapendeza sana sijui nani kawaloga na mawigi, mara kucha za chui, mara kope uuwi hivi vitu vilinipita mbali hata siku ya harusi yangu sikuweka kucha wala kope bandia na sitakaa niweke aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wanaozuia wanawake zao kujiremba.
Na huyo ambaye atachukua option ya kukuacha ni girlfriend na sio mke unless umeoa slei kwin.
Atakayeacha ameanza kutumia juzi. Mtu toka shule ya upili anaaka rangi wewe umemkuta na miaka 32 eti acha foundation.

Labda kama anataka kujisitiri tu...atadate nawe siku tatu ya nne ukimwambia sitaki uvae wigi, kata kucha, acha poda...ukimwita kwa date haji...hmafikii hata ndoa.
 
Siyo kujiremba bali ni kutojiamini.
Nywele feki,
Kope feki,
Ngozi feki,
Lips feki,
Matiti/maziwa feki,
Ma**ko feki,
Hipsi feki,
Kucha feki, ss hapo una Mwanamke au mdoli [emoji848][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vya matako sawa na matiti sawa.

Ila hata foundation! Hata kupaka poda! Lipsticks...kope nazo hamtaki wanawake wajirembe wakuu! Waacheni .
 
Mpe hongera Mumeo kwa kupata Mke anayejitambua Mama[emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ